Kyaiyembe
JF-Expert Member
- Dec 1, 2011
- 1,706
- 665
Zomba anahesabu mimba eti ni mtoto.kumbe bado ? mimi nilikuwa nafikiri tayari? ndio maana nilikuwa nauliza zipo wapi hizo barabara ?
Zomba anahesabu mimba eti ni mtoto.kumbe bado ? mimi nilikuwa nafikiri tayari? ndio maana nilikuwa nauliza zipo wapi hizo barabara ?
Naona umeshindwa kuja na jibu la takwimu zako. Kwi kwi kwi au hujaona post? unaonesha ni hodari sana wa kuchakachuwa. zao la Necta sio?
Kwanza mwambie akueleze hizo takwimu zimekuwa updated lini? ukipata jibu nifahamishe, maana nyie mna data za zamaaaani, mimi nna data zilizowasilishwa bungeni juzi na Magufuli. Kinaga Ubaga na hakuna Mbunge hata mmoja aliyezipinga, si wa CCM si wa Magwanda.
Naona umeshindwa kuja na jibu la takwimu zako. Kwi kwi kwi au hujaona post? unaonesha ni hodari sana wa kuchakachuwa. zao la Necta sio?
Huyu usimkubalie hata kidogo yeye analeta takwimu za maboresho na changarawe!.Badala kujibu hoja unaleta vihoja/kejeli,
Basi umeshinda wewe!
ila ukweli ni kuwa hakuna hizo barabara
Sasa hapo nifanye mimi au ufanye wewe? tazama figure yangu huko juu. Kwi kwi kwi teh teh teh!
Vipi ule Mji wa viwanda Tanga na Mtwara na Meli zetu hapa ziwa Victoria siku zinaenda hamna jipya
Barabara Mkapa alikuwa anajenga bila ya kukopa matrilioni Kikwete amekuta nchi na zero deni mpaka trilioni 23 hiyo ni hatari huwezi kumlinganisha na Mkapa hata siku moja. mipango ya maendeleo mnaenda kufanyia saigon kwenye vijiwe vya kahawa kwi! kwi! kwi! kwi! kwi! ha! ha!Hapa kuna mambo ya barabara funguwa nyuzi tutakuja kukujibu, usiwe na munkar kijana. Funguwa nyuzi, kaa tulia pata gahwa na kashata, eenh kijana wacha kuhangaika tupo wazee wakukutuliza murwa tu.
Huyu hajijui anatuletea takwimu za barabara za changarawe na maboresho hana cha kutwambia.Barabara Mkapa alikuwa anajenga bila ya kukopa matrilioni Kikwete amekuta nchi na zero deni mpaka trilioni 23 hiyo ni hatari huwezi kumlinganisha na Mkapa hata siku moja. mipango ya maendeleo mnaenda kufanyia saigon kwenye vijiwe vya kahawa kwi! kwi! kwi! kwi! kwi! ha! ha!
ila ukweli ni kuwa hakuna hizo barabara
Mkoloni + Nyerere + Mwinyi + Mkapa = 6,000Km of paved roads.
Kikwete = 11,154 KM of paved roads.
Source: Magufuli bungeni na hansard zipo na hakuna Mbunge aliyepinga kwa kuomba muongozo wala utaratibu.
Huyu usimkubalie hata kidogo yeye analeta takwimu za maboresho na changarawe!.
Mkuu ukweli ndio huo hawa jamaa wanadhani kila anayekuja na mawazo tofauti ni Chadema..bora umeweka rekodi sahihi ni vyema Zomba aje atuonyeshe hizo 11,000 km za lami zilipo ili tulinganishe ukweli, kusema kwamba ni Hansard ni lazima hiyo taarifa ya Waziri iwe na attachment kussuport hiyo argument atutafutie aiweke hapa akishindwa basi atulie na ajue kwamba watu wanafuatilia mustakabali wa nchi yao na sio kuamini kila taarifa inayotoka kwa kiongozi bila ya kuitafakari mara mbili mbili haswa kipindi hiki..
Barabara Mkapa alikuwa anajenga bila ya kukopa matrilioni Kikwete amekuta nchi na zero deni mpaka trilioni 23 hiyo ni hatari huwezi kumlinganisha na Mkapa hata siku moja. mipango ya maendeleo mnaenda kufanyia saigon kwenye vijiwe vya kahawa kwi! kwi! kwi! kwi! kwi! ha! ha!
Hata kama ungezipata hizo hansard si za msingi, unajisumbua bure hili bunge linaambiwa chochote hata cha kipuuzi linakubali labda wahoji wa CHADEMA. Sasa nao huwa inafika kipindi wanamchoka Spika na mipasho yake wanamua kupotezea maana hata wakihoji inakuwa kazi bure kwa wingi wa wapuuzi Mjengoni!.Mimi nimetafuta hiyo hansard sijaiona, hata Budget ya waziri haipo Online sijuhi ipo wapi.
Ila kwa kuwa yeye anarecord hizo aja aonyeshe,
mimi nilianzisha hii kama swali kwake kuwa zipo wapi hizo 11,000 Km ?
Wakubwa, nasubiri kwa hamu sana majibu ya pande zote mbili! Maana vyovyote itakavyokuwa tutegemee kumng'amua bonge la muongo kati ya m.pombe na j. mrisho. Maana mmoja anasema mrisho tu ni 11'154 km na khalfani mwenyewe anasema jumla yote iliyopo zamani + awamu yake ni 6'000km!
Zomba yupo jukwaa la dini anaswali akirudi mtaendelea mpaka ashindepande zipi kijana?