ZOMBA: 11,154 KM Ziko wapi ndugu yangu!

Wewe unajuwa maana ya "kusaidia wananchi"? unafikiri barabara, afya bora, vyuo vikuu, vyote hivyo sio kusaidia mwananchi. Mijitu mingine inafikiri kusaida mwananchi ni kumwambia chukuwa hizi pesa weka mfukoni.
Hivi ulivyovitaja kama vipo katika kiwango kinachoridhisha nakuunga mkono.
Lakini kote huko kama si migomo basi ni matatizo matupu!.
 
Mbona Mzee Mkapa hakukopa yeye alizipata wapi hela za kutekeleza hayo ? Hapo kwenye rangi Nyekundu Chizi ni yule aliyeingia madarakani akaanza kugawa mabilioni
 
Hivi ulivyovitaja kama vipo katika kiwango kinachoridhisha nakuunga mkono.
Lakini kote huko kama si migomo basi ni matatizo matupu!.

Babaraba = 11,000 KM wakati wa Kikwete, kabla yake kwa wote pamoja na mkoloni 6,000

Afya - 58.2 Years life span ya Mtanzania wakati wa Kikwete, kabla yake miaka 45 Nyerere, 48 Mwinyi na Mkapa.

Vyuo Vikuu - wanafunzi zaidi ya 300,000 kwa mwaka wakati wa Kikwete. Kabla yake, hata 100,000 hawafiki.

Vipi?
 
FF pamoja na unazi wake wa kijinga kwa ccm , yeye ni kichwa huwezi kumlinganusha na huyo Zomba kilaza Wa kutupwa na elimu yake hiyo fake ya kudesa.

Mkuu, chunguza kwa umakini majibu yake - jamaa huyu akurupuki na yuko patient sana! Anasikiliza kwanza, anatafakali alafu anatuma SALVOS zake bila kubahatisha. Kisaikolojia anaonekana ni mtu mwenye analytical mind mahili sana yuko kwenye leageu yakina FF, tutakua tunajidanganya tukisema kwamba eti ni kilaza, ana elimu FAKE! Wapo kweli wenye sifa za namna hizo lakini ZOMBA sio mmoja wao.

Mwiso labda niseme kwamba ni vizuri tukianzisha utamaduni wa kubishana kwa kutumia hoja lakini sio kuitana majina ya kila sampuli au kutumia lugha hisiyo na STAHA, tukubaliane kutokubaliana bila ya kutukanana au kuitana majina. Alafu kitu kingine kinacho nishangaza naona mara nyingi humu kuna baadhi ya wana JF wakiona member anatofautiana nao basi anazushiwa kwamba huyo katumwa na "usalama wa TAIFA!!"
 
Babaraba = 11,000 KM wakati wa Kikwete, kabla yake kwa wote pamoja na mkoloni 6,000

Afya - 58.2 Years life span ya Mtanzania wakati wa Kikwete, kabla yake miaka 45 Nyerere, 48 Mwinyi na Mkapa.

Vyuo Vikuu - wanafunzi zaidi ya 300,000 kwa mwaka wakati wa Kikwete. Kabla yake, hata 100,000 hawafiki.

Vipi?

Hivi nilikuwa naota ama nilisikia vizuri kwamba Tanzania inasifika katika Africa kwa kutenga 10% ya Budget kwenye Afya kulingana na MDGs?
 
Kwa utetezi wako ambao umekuwa ukijatahidi kutoa wewe ZOMBA ni miongoni mwa wafilisi wa nchi hii ambao vizazi vyetu vitafukua makaburi yenu na kuchapwa vipoko mifupa na mafuvu yenu kisha kuchomwa moto kwa jinsi ambavyo mmeangamiza maliasili na utajiri wa nchi hii .SHAME ON YOU ZOMBE
 
Babaraba = 11,000 KM wakati wa Kikwete, kabla yake kwa wote pamoja na mkoloni 6,000

Afya - 58.2 Years life span ya Mtanzania wakati wa Kikwete, kabla yake miaka 45 Nyerere, 48 Mwinyi na Mkapa.

Vyuo Vikuu - wanafunzi zaidi ya 300,000 kwa mwaka wakati wa Kikwete. Kabla yake, hata 100,000 hawafiki.
Vipi?

Yanayohusu elimu tayaache maana nikikuuliza credit zanazotumika kwa sasa tutabishana Japo mapinduzi katika elimu Kikwete amedandia badala ya kuimarisha misingi iliyokuwepo.
Kuhusu life span hii ni ya kisayansi na propaganda nyingi nayo tuiache!.
Nakutaka uthibitishe barabara maana hazifichiki wala kuitaji utafiti.
Ziko wapi maana hii ni 2012 usiniaminishe ya 2015, hii ni kuhesabu watoto kwa binti unayemchumbia.
 
Hivi nilikuwa naota ama nilisikia vizuri kwamba Tanzania inasifika katika Africa kwa kutenga 10% ya Budget kwenye Afya kulingana na MDGs?
Na usishangae kama utachunguza ukagundua kuwa zaidi ya 50% ya hiyo yote imetengwa kwa ajili ya afya za wa-Tz wasiozidi 1000 kati ya 40+milioni tunaoishi kwa sasa!
 
Yanayohusu elimu tayaache maana nikikuuliza credit zanazotumika kwa sasa tutabishana Japo mapinduzi katika elimu Kikwete amedandia badala ya kuimarisha misingi iliyokuwepo.
Kuhusu life span hii ni ya kisayansi na propaganda nyingi nayo tuiache!.
Nakutaka uthibitishe barabara maana hazifichiki wala kuitaji utafiti.
Ziko wapi maana hii ni 2012 usiniaminishe ya 2015, hii ni kuhesabu watoto kwa binti unayemchumbia.

Tazania nzima hakuna mahali leo hakuna mradi wa barabara uliokamilika au unaoendelea. Kazi motomoto. Uliza Singida vipi? kuanzia za mitaani mpaka za Mkoa, uliza kokote uendapo Tanzania hii, Na hiyo wala haina ubishi.

Eti kisayansi kwani kabla ya Kikwete walikuwa hawaijui hiyo sayansi?

Elimu inajionesha wazi wazi kuwa leo inapanda kuliko ilivyokuwa miaka 8 tu nyuma kabla ya Kikwete. Kuanzia shule za msingi, sekondari, vyuo vya ufundi, vyuo vikuu hakuna aliyefanya zaidi yake.
 
001+004.jpg

001+005.jpg

Barabara ya Arusha-Babati mpaka Dodoma

Barabara ya Arusha-Babati mpaka Dodoma ni moja ya barabara muhimu kwa mkoa 'mpya' wa Manyara. Ni moja ya barabara inayouunganisha mkoa wa Manyara na Arusha na pia mkoa wa Manyara na Dodoma. Kwa kipindi kirefu barabara hii imekuwa ipo chini ya ukarabati. Hivi karibuni mdau Sam Diah wa Tanzania Travel company alikuwa na pilika pilika zilizompitisha katika barabara hii na zifuatazo ni baadhi ya taswira alizoweza kuzinasa akiwa njiani. Juu ni vifaa vya ujenzi zikiendelea na kazi katika barabara hii. Kwa wale waliowahi kufanya safari ktk barabara hii watakuwa na kumbukumbu nzuri za vumbi zito linalofunika gari kabisa hususan kipindi cha kiangazi ktk maeneo ambayo ujenzi ulikuwa haujakamilika.

Baadhi ya sehemu barabara imekamilika. Milima inayoonekana kwa mbali ni milima ya Hanang. Kwa wale waliowahi tembelea hifadhi ya Taifa ya Tarangire kwa njia ya gari. walitumia barabara hii kufika hifadhini

Barabara huharakisha maendeleo mengina. picha ni mjengo wa shule

Source: http://tembeatz.blogspot.com/2011/08/barabara-ya-arusha-babati-mpaka-dodoma.html
 
Tazania nzima hakuna mahali leo hakuna mradi wa barabara uliokamilika au unaoendelea. Kazi motomoto. Uliza Singida vipi? kuanzia za mitaani mpaka za Mkoa, uliza kokote uendapo Tanzania hii, Na hiyo wala haina ubishi.

Eti kisayansi kwani kabla ya Kikwete walikuwa hawaijui hiyo sayansi?

Elimu inajionesha wazi wazi kuwa leo inapanda kuliko ilivyokuwa miaka 8 tu nyuma kabla ya Kikwete. Kuanzia shule za msingi, sekondari, vyuo vya ufundi, vyuo vikuu hakuna aliyefanya zaidi yake.

Vipi kusini? kuna kauli ilitolewa mtu atatoka Mwanza mpaka Mtwara kwa Taxi, mpaka sasa zimebaki kilometre ngapi? au zimeisha
 
Huyu ukisikia anasema kikwete kajenga barabara anajumulisha zilizokarabatiwa zile regular maintenance.

Wanasiasa wanapenda sana Quantitative approach in analysing things than Qualitative, ukiwafuata wanakumaliza, kwa sie tunaozunguuka huku na kule huwa hawatusumbui maana tunaona.
 
Mkoloni + Nyerere + Mwinyi + Mkapa = 6,000Km of paved roads.

Kikwete = 11,154 KM of paved roads.

Source: Magufuli bungeni na hansard zipo na hakuna Mbunge aliyepinga kwa kuomba muongozo wala utaratibu.

yeah hata kupitisha grader ni kutengeneza barabara, nadhani ni zaidi ya 11,154 tumefikia level ya Ulaya sasa,
 
Back
Top Bottom