ZOMBA: 11,154 KM Ziko wapi ndugu yangu!

Ahasante mkuu nimekusoma!.
Na kuna kitu umenisaidia kugundua kuwa zaidi ya 50% ya miradi yote 29 (15) ilianza kabla ya utawala wake (Mr. Dhaifu).
Ukiacha hilo ni kuwa Barabara zilizojengwa jumla ni 5970km nchi nzima, tukitoa zilizoisha chini yake 1741.8km tunabaki na 4228.2km.
Ni makosa kusema kuwa amejenga barabara zenye urefu wa 5970km.
 
Kwanza mwambie akueleze hizo takwimu zimekuwa updated lini? ukipata jibu nifahamishe, maana nyie mna data za zamaaaani, mimi nna data zilizowasilishwa bungeni juzi na Magufuli. Kinaga Ubaga na hakuna Mbunge hata mmoja aliyezipinga, si wa CCM si wa Magwanda.
Wewe ongezea miradi unayoijua iliyokamilishwa baada ya 2010.
 
Mkoloni + Nyerere + Mwinyi + Mkapa = 6,000Km of paved roads.

Kikwete = 11,154 KM of paved roads.

Source: Magufuli bungeni na hansard zipo na hakuna Mbunge aliyepinga kwa kuomba muongozo wala utaratibu.
 
Hizi Mbona mmeziwacha?

FINANCED BY GOVERNMENT OF TANZANIA
NO:PROJECT NAMELENGTH (KM)SIGNING DATEFINISH DATECONTRACTORSTATUS/PROGRESS
1MAGOLE - TURIANI48.6017/06/200902/06/2012CCECC29.0%
2DODOMA - MAYAMAYA43.6528/06/201011/09/2013SINOHYDROMobilisation
3TABORA - URAMBO (LOT 1:TABORA - NDONO)42.0030/07/201002/09/2012CHICOMobilisation
4TABORA - URAMBO (LOT 2:NDONO - URAMBO)52.0030/07/201004/01/2013CCECCMobilisation
5MANYONI - ITIGI -CHAYA89.3030/07/201020/12/2013SINOHYDRO5%
6SUMBAWANGA - KANAZI75.0015/06/200916/12/2012JIANGXI GEO-ENG16%
7KANAZI - KIZI - KIBAONI76.6015/06/200915/12/2012CHCEG22%
8SUMBAWANGA - MATAI - KASANGA112.0010/08/200908/10/2012CR15G9%
9MBEYA - LWANJILO36.0024/12/201025/01/2013CCCCMobilisation
10 TABORA - NYAHUA - CHAYA
(LOT 1:TABORA - NYAHUA)
85.0030/07/201025/01/2014CFTECHMobilisation
11KYAKA - BUGENE59.1030/07/201014/03/2013CHICO10.1%
12BAGAMOYO - MSATA64.0011/08/201014/09/2012ESTIM28%
13 MWIGUMBI - MASWA - BARIADI - LAMADI
(Bariadi - Lamadi)
71.8009/09/200909/09/2012CCCC14%
14DUMILA - RUDEWA45.0017/06/200931/01/2012CCECC42%
15NZEGA - TABORA (LOT 1:NZEGA - PUGE)58.8030/07/201027/06/2013CCCC4%
16NZEGA - TABORA (LOT 2:pUGE - TABORA)56.1030/07/201002/04/2013SINOHYDRO2%
17HANDENI - MKATA54.0015/06/200915/05/2012SINOHYDRO32%
18KOROGWE - HANDENI65.0015/06/200915/09/2012SINOHYDRO24%
PROJECTS FINANCED BY MULTILATERAL
19DAREDA - MINJINGU84.6029/12/200810/03/2012CHICO82%
20Namtumbo - Kilimasera Lot A60.7024/12/201013/06/2012Progressive Higleig JVMobilisation
21MKUMBARA - SAME96.00Dott Servicesunder mobilisation
22Kidahwe - Uvinza - Ilunde76.6024/06/201016/10/2013CHICO21%
23KAGOMA - LUSAHUNGA ( balance Works)154.0018/06/200908/07/2012CHICO - CRSG Jv53.3%
24Fufu Escarp - Dodoma Lot 370.9013/01/201114/06/2013CCCCMobilisation
25ARUSHA - NAMANGA105.0013/06/200812/04/2012China Geo-Eng.81%
26ARUSHA - MINJINGU98.0010/05/201111/02/2014Sogea SatomMobilisation
27Kilimasera - Matemanga Lot B68.2024/12/201013/08/2013Progressive Higleig JVMobilisation
28Matemanga- Tunduru Lot C58.7024/12/201013/05/2013Progressive Higleig JVMobilisation
29Iringa - Migori Lot 195.1013/01/201114/02/2014SIETCOMobilisation
30Migori - Fufu escarp Lot 293.8013/01/201115/02/2014SIETCOMobilisation
31KOROGWE - MKUMBARA76.00STRABAGMobilisation
32ISAKA – USHIROMBO132.0018/08/200918/05/2013CHICO47.1%
33USHIROMBO - LUSAHUNGA110.0018/08/200917/05/2013STRABAG42.1%
PROJECTS FINANCED BY BILATERAL
34MARANGU - ROMBO MKUU32.0013/05/200815/06/2010General Nile82%
35Malagarasi Bridge and Approach roads48.0021/10/201001/12/2013HANIL10%
36WIDENING OF BAGAMOYO ROAD17.2016/12/201031/05/2013KONOIKE15%
37CHALINZE - TANGA PHASE II124.0024/12/201028/07/2013SBI Inetrnational12%
38 Nyanguge - Musoma
(Mwanza /Mara border - Musoma section)
85.5030/07/2010CHICOIN PROGRESS
PROJECTS FINANCED BY WORLD BANK UNDER BRT PROJECT
39LOT 1: ROAD WORKS (Kimara - Magomeni)10.90PROCUREMENT
40 LOT 2: ROAD WORKS
(Magomeni - Kivukoni, Kawawa and Msimbazi)
10.50PROCUREMENT
41 PACKAGE 2: UBUNGO TERMINAL,
FEEDER STATION AND UP-COUNTRY BUS STATION
09/08/2010BCEGMobilisation
42PACKAGE 3: JANGWANI DEPOT24/12/2010ChinaCivil EngPROCUREMENT
43 PACKAGE 4:
KIVUKONI TERMINAL AND FEEDER STATION
21/06/201020/06/2011BCEG50%
44 PACKAGE 5:
KARIAKOO TERMINAL AND FEEDER STATIONS
09/08/2010BCEGMobilisation
45 PACKAGE 6:
FEEDER STATIONS
21/06/2010BCEGMobilisation
46 PACKAGE 7:
RELOCATION OF POWER UTILITIES
31/05/201005/05/2011SPENCON55%
PROJECTS FINANCED BY MCC
47Tanga-Horohoro65.0022/12/200912/04/2012SINOHYDRO47.22%
48Tunduma-Ikana63.7022/09/201007/09/2012CONSOLIDATED8.70%
49Ikana-Laela63.7017/09/201015/08/2012CHINA NEW ERA10%
50Laela-Sumbawanga95.3129/04/201031/01/2013AASLEFF-BAM JV24%
51Songea-Namtumbo61.0025/05/201003/09/2012SOGEA-SATOM17.5%
52Peramiho Jct-Mbinga78.0002/07/201028/10/2012SINOHYDRO13.2%
 
Mkoloni + Nyerere + Mwinyi + Mkapa = 6,000Km of paved roads.

Kikwete = 11,154 KM of paved roads.

Source: Magufuli bungeni na hansard zipo na hakuna Mbunge aliyepinga kwa kuomba muongozo wala utaratibu.

Masaburi @ Work..

Sasa kitu kama ndio kikiwa kwene hansard ndio kina-overturn ukweli, i guess in your tiny little brain..ulichoulizwa sio hansard zinasemaje, umeulizwa mchanganuo wa hizo 11K Km.
 
Zomba umekuwa ukinandi sana kuwa JK kajenga km 11,154, Je unaweza kunionyesha ziko wapi? na kajenga kwa hela ipi? Maana si mchezo hizi kwa gharama.
SHUKURU KAWAMBWA hii ni sawa na 11,154 x 1.2 Bilion = 13.3 Trilion.
MAGUFULI hi ni sawa na 11,154 x 0.8 Bilion = 8.9 Trilion.

Kwa mujibu wa Tanroads: Tanzania National Roads Agency (TANROADS)

Classified Road Network
The total classified road network in Tanzania Mainland is estimated to be 86,472 km based on the Road Act 2007. The Ministry of Works through TANROADS is managing the National road network of about 33,891 km comprising 12,786 km of Trunk and 21,105 km of Regional roads. The remaining network of about 53,460 km of Urban, District and Feeder Roads is under the responsibility of the Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government (PMO-RALG). The National Road Network
The National Road Network consists of:

  • Trunk roads 12,786 km out of which 5,130 km are paved and 7,656 km are unpaved.
  • Regional Roads: 21,105 km out of which 840 km are paved and 20,265 km are unpaved.

Mbona ni 5,970 tu?

Nakushangaa unapoleta data za TANROADS pekee, hivi hujui kuwa Tanzania hizi si barabara zote zilizochini ya TANROADS?

Kwanza leta data na za barabara za halmashauri.

Kumbuka Magufuli anaongelea barabara zote za Tanzania si zilizochini ya TANROADS pekee, ndio maana hata wabunge wako walishindwa kumppinga alipokuwa analisema hilo bungeni.

Nakushangaa sana unapokuja na data nusu nusu na kuzifanya ndio za Tanzania nzima.

Classification ya barabara za Tanzania ni zaidi ya Regional na Trunk roads pekee ulizoziweka. Rudia tena utafiti wako hafifu, kukupa hint tu:

Kuna Feeder Roads, District Roads, Urban Roads
ambazo hujaziweka na kuna classification zingine mbili sikuelezei kwa sasa, mpaka utapokuja na hizo nilizokupa hints kwa sasa.

Jaribu tena bahati yako, kwa hili bado kiwango chako kimeishia kwenye Road Classifications mbili tu.
 
Nakushangaa unapoleta data za TANROADS pekee, hivi hujui kuwa Tanzania hii si barabara zote zilizochini ya TANROADS?

Kwanza leta data na za barabara za halmashauri.

Kumbuka Magufuli anaongelea barabara zote za Tanzania si zilizochini ya TANROADS pekee, ndio maana hata wabunge wako walishindwa kumppinga alipokuwa analisema hilo bungeni.

Nakushangaa sana unapokuja na data nusu nusu na kuzifanya ndio za Tanzania nzima.

Classification ya barabara za Tanzania ni zaidi ya Regional na Trunk roads pekee ulizoziweka. Rudia tena utafiti wako hafifu, kukupa hint tu:

Kuna Feeder Roads, District Roads, Urban Roads
ambazo hujaziweka na kuna classification zingine mbili sikuelezei kwa sasa, mpaka utapokuja na hizo nilizokupa hints kwa sasa.

Jaribu tena bahati yako, kwa hili bado kiwango chako kimeishia kwenye Road Classifications mbili tu.

Una lingine ?

Tanzania Road Network Length (km)
Road Class
Paved (km)
Unpaved
Total
%Paved
Trunk Roads
5,478​
7,308​
12,786​
43​
Regional Roads
840​
20,265​
21,105​
4​
District, Urban, Feeder, Roads
774​
51,807​
52,581​
1.5​
TOTAL
7,092
79,380
86,472
9
 
Una lingine ?

Tanzania Road Network Length (km)
Road Class
Paved (km)
Unpaved
Total
%Paved
Trunk Roads
5,478​
7,308​
12,786​
43​
Regional Roads
840​
20,265​
21,105​
4​
District, Urban, Feeder, Roads
774​
51,807​
52,581​
1.5​
TOTAL
7,092
79,380
86,472
9

Kwanza nafurahi kuwa hesabu zako zimebadilika hapo inabidi unipe thanks ya nguvu.

Pili; data zako zinaonesha za zamani sana, unaweza kuweka source na mwaka wa hizo takwimu zako. Usilete history ukasema ndio story!

Mimi takwimu zangu nimekuwekea source na nimekwambi ni juzi bungeni na wengi wamemsikia Magufuli na hansard zipo.

Naona kuficha madudu yako umeenda kuchakachuwa post#1 baada ya kushtukiwa.
 
Raha ilioje;

Post yako kwa mara ya kwanza uliibandika: Today 10:28

Mimi nikakujibu kukuonesha kuwa hujaweka data kamili: Today 12:51

Ukaona umeshtukiwa ukaenda kuichakachuwa post #1: Last edited by Kibanga Ampiga MKoloni; Today at 13:01.

Kwi kwi kwi teh teh teh. Kama ni mahakamani kesi yako imeshatupiliwa mbali.
 
Mkoloni + Nyerere + Mwinyi + Mkapa = 6,000Km of paved roads.

Kikwete = 11,154 KM of paved roads.

Source: Magufuli bungeni na hansard zipo na hakuna Mbunge aliyepinga kwa kuomba muongozo wala utaratibu.

President Jakaya Kikwete said in Arusha on Thursday that at the moment the total length of tarmacked roads in Tanzania is 6,000 kilometres. The president was officially opening the 47th African Development Bank (AfDB) meeting when he said this. "Tanzania has a total road network that covers 80,000 kilometres.
However, there is a need to reduce the length of unpaved roads," he said. He added that there are ongoing efforts to pave 11,000 kilometres of the road network -- a job that is expected to be completed in three years' time. After construction projects are completed in 2015 the total length of paved roads will increase from 6,000 to 17,000 kilometres.
Source: Tanzania Daily News.
Fanya tena hesabu upya
 
Naona mchakachuwaji kashindwa kuonesha data za ukweli.

Mliobaki mnaporojo tu, japo mwenzenu kajaribu kidogo kujitetea lakini ndio kwa kuchakachuwa na mwisho akashindwa kuonesha source na mwaka wa data zake. Kwi kwi kwi teh teh teh.

Kikwete juu, juu, juu zaidi.
 
Kwanza nafurahi kuwa hesabu zako zimebadilika hapo inabidi unipe thanks ya nguvu.

Pili; data zako zinaonesha za zamani sana, unaweza kuweka source na mwaka wa hizo takwimu zako. Usilete history ukasema ndio story!

Mimi takwimu zangu nimekuwekea source na nimekwambi ni juzi bungeni na wengi wamemsikia Magufuli na hansard zipo.

Naona kuficha madudu yako umeenda kuchakachuwa post#1 baada ya kushtukiwa.

Thanks!

Huko kwenye Hansard sijaona hizo data, Hizo hapo zimetoka ROAD FUND,
Kama Unazo weka nadhani ndio zumuni ya hii thread NILITAKA KUJUA ZIPO WAPI HIZO 11,000+ KM , Mimi binafsi nimetafuta sijaona, wala hio BAJETI ya 2012/2013 haipo , kama ipo niwekee hapa nipo tayari kuisoma na kuhisahihisha kam ulivyo ona hapo nafanya. Au WEWE UNAFANYA HII NI VITA? Hope ni suala la kuelishana.
Narudia
ZI WAPI 11,000+ KM ZOMBA ?
 
Naona mchakachuwaji kashindwa kuonesha data za ukweli.

Mliobaki mnaporojo tu, japo mwenzenu kajaribu kidogo kujitetea lakini ndio kwa kuchakachuwa na mwisho akashindwa kuonesha source na mwaka wa data zake. Kwi kwi kwi teh teh teh.

Kikwete juu, juu, juu zaidi.

Kaka onyesha wwe ziko wapi?
Dhumuni ya hii thread ni kutaka kujua zipo wapi? maana mimi sijaziona.
 
President Jakaya Kikwete said in Arusha on Thursday that at the moment the total length of tarmacked roads in Tanzania is 6,000 kilometres. The president was officially opening the 47th African Development Bank (AfDB) meeting when he said this. "Tanzania has a total road network that covers 80,000 kilometres.
However, there is a need to reduce the length of unpaved roads," he said. He added that there are ongoing efforts to pave 11,000 kilometres of the road network -- a job that is expected to be completed in three years' time. After construction projects are completed in 2015 the total length of paved roads will increase from 6,000 to 17,000 kilometres.
Source: Tanzania Daily News.
Fanya tena hesabu upya

kumbe bado ? mimi nilikuwa nafikiri tayari? ndio maana nilikuwa nauliza zipo wapi hizo barabara ?
 
Back
Top Bottom