Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,941
- 9,947
zomba na Kibanga ampiga Mkoloni angalieni data mnazotumia nina shaka kubwa na uhalisia wake. naona data nyingi hazijawa updated. Nimeona hapo juu kwamba barabara ya Tanga - Horohoro iko 47% lakini ukweli ni kwamba ile barabara iko more than 95% completed. Nimetoka mombasa juzi nikapitia hiyo barabara nimeiona kwa macho yangu. Wakati mnabishana angalieni source ya data zenu.
Last edited by a moderator: