dosama
JF-Expert Member
- Dec 25, 2010
- 912
- 957
Hapa naunganisha dots za mwenendo wa Zitto na Kafulila juu ya kutumika na CCM katika kivivuluga vyama vya upinzani nchini.
Kusema mweli leo nimeshangaa kuona heading kubwaaaa kwenye gazeti la UHURU ikisema Zitto azilipua kampuni za simu wakati nikishazoe ZITTO aichachafya CDM au Zitto awashushua viongozi wa CDM ataka usawa. Lakini leo kama vile ni kiongozi wa ccm anapewa front coverage imenifanya nianze kuunganisha vitu na mfululizo wa habari za Zitto na magazeti