Goodrich
JF-Expert Member
- Jan 29, 2012
- 2,091
- 1,177
Kuna wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna. Zitto anataka kuvuna wakati wa kupanda.
CDM ipo katika harakati za kujijenga, kuelimisha umma, na kutafuta wanachama ili hatimaye kumkomboa Mtanzania.
Yeye zitto, tena bila aibu, akiwa kama naibu katibu mkuu, badala ya kujenga chama, ana harakati za kuutaka Urais 2015.
Amekuwa ndio mtanzania wa kwanza kutangaza nia ya uraisi, tena wakati ambapo nchi ipo katika changamoto nyingi.
Na hii ni mara ya pili, wakati ule kampeni zilipopamba moto Arumeru pia alitangaza nia.
Naanza kuamini kuwa Zitto ni kibaraka wa magamba mwenye nia ya kuiua CDM.
Hakika Zitto sio wa kuaminiwa, ni mtu wa kuwa makini naye!