Zitto na CCM kunani? iweje gazeti la UHURU leo Heading iwe ya kiongozi wa CHADEMA?

kuadeki alitangaza urais JOSHUA NASSARI mlikaa kimyaaaaaa kwa vile mlijua hakubalik lkn jembe zitoo lilipotangaza tu mnaanza kuweweseka,acheni uoga bana,anawatania tu,chadema hawana akili mbovu kumpa MUISLAM nfs km hiyo ya kugombea urais
 
Zitto, asibezwe kama anataka Urais wananchi wataamua wenyewe, tusiwasemee.

Kuna wakati bangi hulimwa kwenye michaichai, hii bangi ukiivuta asubuhi na kisha kwenda kuchagua Rais ni lazima utamchagua Zitto. Mimi naipenda sana Chadema lakini kwa huyu kijana na akiri zangu timamu, Zitto hafai kabisa kuwa Rais, Rais huandaliwa toka akiwa mdogo, lakini for the way anavyoongeaongea huyu kijana inaonyesha anatamaa sana na Madaraka kama rafiki yake Shibuda. Ukiwa na kitu inaitwa overconfindance alwayz huwa ni tatizo na heshima hupotea na wewe kujiaminisha unapendwa kama rafiki yake mwingine Nape
 
Back
Top Bottom