Zitto na CCM kunani? iweje gazeti la UHURU leo Heading iwe ya kiongozi wa CHADEMA?

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Hapa naunganisha dots za mwenendo wa Zitto na Kafulila juu ya kutumika na CCM katika kivivuluga vyama vya upinzani nchini.

Kusema mweli leo nimeshangaa kuona heading kubwaaaa kwenye gazeti la UHURU ikisema Zitto azilipua kampuni za simu wakati nikishazoe ZITTO aichachafya CDM au Zitto awashushua viongozi wa CDM ataka usawa. Lakini leo kama vile ni kiongozi wa ccm anapewa front coverage imenifanya nianze kuunganisha vitu na mfululizo wa habari za Zitto na magazeti
 
Zitto, unajidanganya na unadanganyika, zile kelele za jana bungeni kukuunga mkono kwa tamko lako la kusema unauwezo wa kuwa Rais wa Tz, zilikuwa ni za wanafiki wa Ccm. Wewe kama unataka kujipima chukua form ya kugombea 2015 ili upambane na Dr Slaa utatambua kuwa wewe una nafasi gani kisiasa. Utatupwa mbali sana, na ubunge utausikia kwa jirani zako. Usipime kina cha maji ya bahari kwa mguu utazama jumla.
 
Umenena mkuu. Naona kijana anapima maji kwa macho. Namshauri atulie CCM watamlamba miguu kisha watampaka mavi usoni na kumpotezea. Nakuongeaongea siyo issue
 
Kwa hiyo unataka kusema kwenye chama makini Zitto bado ana usanii wa kitoto, labda akimbilie chama DHAIFU anaweza kupata urais dhaifu, au?
 
MImi naamini Zitto ana akili sn. Sidhani kabisa kama anaweza kufanya mambo ambayo wazi kabisa anajua outcome yake.
 
Kuja mahari kaharibu, sasa wanatafuta kumsafisha, na nilazima watuondoe katika jambo hilo kwa kuleta hoja mpya

Hapa naunganisha dots za mwenendo wa Zitto na Kafulila juu ya kutumika na CCM katika kivivuluga vyama vya upinzani nchini.

Kusema mweli leo nimeshangaa kuona heading kubwaaaa kwenye gazeti la UHURU ikisema Zitto azilipua kampuni za simu wakati nikishazoe ZITTO aichachafya CDM au Zitto awashushua viongozi wa CDM ataka usawa. Lakini leo kama vile ni kiongozi wa ccm anapewa front coverage imenifanya nianze kuunganisha vitu na mfululizo wa habari za Zitto na magazeti
 
Hapa naunganisha dots za mwenendo wa Zitto na Kafulila juu ya kutumika na CCM katika kivivuluga vyama vya upinzani nchini.

Kusema mweli leo nimeshangaa kuona heading kubwaaaa kwenye gazeti la UHURU ikisema Zitto azilipua kampuni za simu wakati nikishazoe ZITTO aichachafya CDM au Zitto awashushua viongozi wa CDM ataka usawa. Lakini leo kama vile ni kiongozi wa ccm anapewa front coverage imenifanya nianze kuunganisha vitu na mfululizo wa habari za Zitto na magazeti

Hoja dhaifu sn. Leta dot zako na uziunganishe ndio tukueleze
 
Kweli nimeamini zitto ni tishio,na ni jembe la ukweli,maana asingewasghulisha hivi kila kukicha thread zake,mnajua ana madhara ndio sababu povu halikauki!

mimi bado nina wasiwasi aisee, kuanzia juzi nafuatilia suala la zito humu ndani jf kuna thread kama kumi hivi ukizisoma unaona support kubwa anaipata kwa hawa jamaa wa magamba waliomo humu, kasoro ritz ndo kaamua kuwa neutral yeye na udini tu.
 
Zitto, unajidanganya na unadanganyika, zile kelele za jana bungeni kukuunga mkono kwa tamko lako la kusema unauwezo wa kuwa Rais wa Tz, zilikuwa ni za wanafiki wa Ccm. Wewe kama unataka kujipima chukua form ya kugombea 2015 ili upambane na Dr Slaa utatambua kuwa wewe una nafasi gani kisiasa. Utatupwa mbali sana, na ubunge utausikia kwa jirani zako. Usipime kina cha maji ya bahari kwa mguu utazama jumla.
mtani wangu Zitto ni miongoni mwa personality ninazoziheshimu katika siasa za Tanzania.
Haya mambo yanayomtokea kwa juu juu yanaonekana kama ni mchezo tu wa kisiasa, naomba iendelee kuwa hivyo lakini sisi ni binadamu ambapo 'kubadilika' ni kitu cha kawaida.

All in all, inaweza kuwa 'quest' kwa cdm kwa kumlinganisha Mh. Zitto na Katibu mkuu wa zamani Ndg. Warid Amani Kabouru.

Ngoja tusubiri tuone
 
Nadhani watanzania tuna mambo mengi sana ya kujadili kwa muda huu sio issue ya nani atakuwa raisi.
 
Back
Top Bottom