Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,645
Zitto is just an attention you know what....
Hizi habari za kweli jamani ?
Kama za kweli, inamaana Slaa akishinda 2010, 2015 hatagombea? Au Zitto haamini kwamba Slaa anaweza kushinda 2010 ?
kila siku nina mashaka na huyu mkuu! Naona hapa tayari kashadivert mjadala watu wataanza kumdiscuss zitto kugombea urais na sio slaa kugombea urais! Kulikuwa na ulazima gani wa zito kutangaza nia ya urais 2015 miaka mitano kabla!? Inawahi nini hasa! Mh! Kasema atagombea kupitia chama gani?
Ndio maana nikasema he is an attention you know what....huenda kaona kawa si gumzo tena na ili kujirudisha kuwa gumzo akatoa hiyo kauli inayodaiwa katoa...
Either way he sucks anyway....
Well namshukuru aliyeleta facts za umri kwamba hautamruhusu, ceteris paribus, kugombea 2015.
Tatizo ninaloliona hapa ni kwamba wananchi wa kawaida kule kigoma hawatajua kwamba umri hautatosha. sasa hili linanifanya niamini hoja yako kwamba ana seek attention au anataka kudistract attention kutoka kwenye kampeni za mgombea Urais
Tangu mwanzo nilionyesha mashaka na authenticity ya habari hii.
Inaonekana haikusemwa na Zitto. Kuna mtu ana audio/ video au direct quote from a reputed source ?
Mi binafsi nimesema kwamba kweli TBC wamemuonyesha akihutubia, nimesikia mengine lakini hili la kwamba atagombea urais 2015 sijalisikia..lakini nimesema kwamba sikuwa full attention so huenda mengine yamenipita pia, au labda amneonyeswa vituo vingine vya TV say star tv au ITV au channel tena...
Jamani let us be real great thinkers, kwa nini tuendelee kujadili kitu ambacho tunajua hakiwezekani, katiba ina sema mgombea urais lazima awe amefikisha umri wa miaka 40 na Zitto by 2015 atakuwa na 38. Labda mleta hoja alipitiwa kidogo kuangalia hilo kwa sababu umri unam disqualify Zitto moja kwa moja.
ni katika mbwembwe za kuomba kura tu kwa wananchi. Anajua wananchi hawajui kuhusu sheria za umri na hata pengine hawaujui umri wake yeye zitto kwa hiyo anawapelekesha pelekesha tu.
So is 39 = 40?Kwani Zitto kazaliwa mwaka gani? Nijuavyo mimi kazaliwa 1976. Kwa hiyo, kutegemeana na mwezi aliozaliwa, kama tarehe za uchaguzi mkuu zitabaki kuwa mwezi wa 10, na kama yeye alizaliwa kabla ya mwezi wa 10, basi 2015 atakuwa na miaka 39 na sio 38.