Zitto kugombea urais 2015?

Status
Not open for further replies.
Sasa kama Dr Slaa akishinda mwaka huu inamana yeye ata mchallenge kugombea term nyingine au nikwamba kasha m-rule out Dr kupata ushindi uchaguzi huu?

Au anategemea 2015 sheria ya mgombea binafsi itakuwepo na yeye atagombea kwa njia hio? Najua ana nafasi ya kugombea kwa njia ya chama pia lakini sidhani kama chadema watakuwa wameeendeleza ya mwaka huu bali watabomoa na kuleta mikwaruzo kwenye chama.
 
Hizi habari za kweli jamani ?

Kama za kweli, inamaana Slaa akishinda 2010, 2015 hatagombea? Au Zitto haamini kwamba Slaa anaweza kushinda 2010 ?

Maswali ya msingi sana haya....I was about to ask the same! Mi nimeiona hiyo taarifa ya habari lakini sidhani kama nilikuwa attentinve enough kusikia kila alichosema...sana sana nimesikia akisema kuwa sasa kazi iliyopo ni mambo ya umeme maana mara bara, shule nk mambo safi huko.....

au labda amesema hivyo kama kampeni tu kura zitoshe kipindi hiki maana SI mara yake ya kwanza KUBADILI KAULI/MSIMAMO wake....nakumbuka ile kwamba asingegombea ubunge mwaka huu na badala yake anajikita kwanye PhD something like that
 
kila siku nina mashaka na huyu mkuu! Naona hapa tayari kashadivert mjadala watu wataanza kumdiscuss zitto kugombea urais na sio slaa kugombea urais! Kulikuwa na ulazima gani wa zito kutangaza nia ya urais 2015 miaka mitano kabla!? Inawahi nini hasa! Mh! Kasema atagombea kupitia chama gani?
 
Ndio maana nikasema he is an attention you know what....huenda kaona kawa si gumzo tena na ili kujirudisha kuwa gumzo akatoa hiyo kauli inayodaiwa katoa...

Either way he sucks anyway....
 
Ndio maana nikasema he is an attention you know what....huenda kaona kawa si gumzo tena na ili kujirudisha kuwa gumzo akatoa hiyo kauli inayodaiwa katoa...

Either way he sucks anyway....

Well namshukuru aliyeleta facts za umri kwamba hautamruhusu, ceteris paribus, kugombea 2015.

Tatizo ninaloliona hapa ni kwamba wananchi wa kawaida kule kigoma hawatajua kwamba umri hautatosha. sasa hili linanifanya niamini hoja yako kwamba ana seek attention au anataka kudistract attention kutoka kwenye kampeni za mgombea Urais
 
Tangu mwanzo nilionyesha mashaka na authenticity ya habari hii.

Inaonekana haikusemwa na Zitto. Kuna mtu ana audio/ video au direct quote from a reputed source ?
 
Tangu mwanzo nilionyesha mashaka na authenticity ya habari hii.

Inaonekana haikusemwa na Zitto. Kuna mtu ana audio/ video au direct quote from a reputed source ?

Mi binafsi nimesema kwamba kweli TBC wamemuonyesha akihutubia, nimesikia mengine lakini hili la kwamba atagombea urais 2015 sijalisikia..lakini nimesema kwamba sikuwa full attention so huenda mengine yamenipita pia, au labda amneonyeswa vituo vingine vya TV say star tv au ITV au channel tena...
 
Zito kakosea kama kauli hiyo ni ya kweli; atarukaje daraja kabla hajalifikia?
 
Mi binafsi nimesema kwamba kweli TBC wamemuonyesha akihutubia, nimesikia mengine lakini hili la kwamba atagombea urais 2015 sijalisikia..lakini nimesema kwamba sikuwa full attention so huenda mengine yamenipita pia, au labda amneonyeswa vituo vingine vya TV say star tv au ITV au channel tena...

Superman kasema anayo clip ngoja tumsubiri atuwekee tujionee na kusikia wenyewe kinachodaiwa kusemwa....
 
Jamani let us be real great thinkers, kwa nini tuendelee kujadili kitu ambacho tunajua hakiwezekani, katiba ina sema mgombea urais lazima awe amefikisha umri wa miaka 40 na Zitto by 2015 atakuwa na 38. Labda mleta hoja alipitiwa kidogo kuangalia hilo kwa sababu umri unam disqualify Zitto moja kwa moja.
 
Luteni .......labda zitto amepata selective amnesia akasahau umri wake :)
 
Jamani let us be real great thinkers, kwa nini tuendelee kujadili kitu ambacho tunajua hakiwezekani, katiba ina sema mgombea urais lazima awe amefikisha umri wa miaka 40 na Zitto by 2015 atakuwa na 38. Labda mleta hoja alipitiwa kidogo kuangalia hilo kwa sababu umri unam disqualify Zitto moja kwa moja.

Kwani Zitto kazaliwa mwaka gani? Nijuavyo mimi kazaliwa 1976. Kwa hiyo, kutegemeana na mwezi aliozaliwa, kama tarehe za uchaguzi mkuu zitabaki kuwa mwezi wa 10, na kama yeye alizaliwa kabla ya mwezi wa 10, basi 2015 atakuwa na miaka 39 na sio 38.
 
Well well well wakuu

Nathibitisha kwamba ni KWELI...ijapokuwa hajatamka hivyo yeye mwenyewe.

Nimeamua niconcentrate sasa kwanye habai, TBC wamemuonyesha na amesema ikifika 2015 akienda tena pale sio kwamba atakuwa anagombea ubunge, ila ...urais, kwa mujibu wa waliokuwa mkutanoni, I mean aliwauliza, na kuwataka wajibu kwa sauti , kwamba akienda tena atakuwa anagombea urais...kama mara tatu hivi

samahani siwezi kuweka clip labda ataweka SUperman, sasa mjadala unaweza kuendelea ktk muktadha wa mwanzoni.,....
 
ni katika mbwembwe za kuomba kura tu kwa wananchi. Anajua wananchi hawajui kuhusu sheria za umri na hata pengine hawaujui umri wake yeye zitto kwa hiyo anawapelekesha pelekesha tu.
 
ni katika mbwembwe za kuomba kura tu kwa wananchi. Anajua wananchi hawajui kuhusu sheria za umri na hata pengine hawaujui umri wake yeye zitto kwa hiyo anawapelekesha pelekesha tu.

Na awe tayari kulipa gharama kubwa ya kauli mbovu mbovu za kisiasa.Mtu makini ktk kipindi hiki hakupaswa hata kufikiria kauli ya namna hiyo,na ukizingatia kuwa Katibu Mkuu wa Chama chake anatafuta nafasi yeye anayoizungumzia!Nashindwa kuelewa kama kuna Ulevi wa Sifa ama Rushwa inatumbukizwa kuwavuruga Chadema!kuna mwanasaikolojia mmoja aliwahi kusema "Be suspicious with everything"
 
I DONT REAL TRUST ZITTO, AM SORRY GUYS! KUNA VITU HUWA ANAKURUPUKA NA KULETA MGONGANO WA KIMASLAHI NDANI YA CHAMA, INAWEZEKANI AMELISEMA HILO KUTAKA KUWA CONVINCE WANANCHI WANCHAGUE BUT WAS NOT A SMART THING TO SAY!

KWANI IS TOO CONTRAVERSIAL, NA SASA HIVI NI WAKATI WA MAPAMBANO MAKALI HUTAKIWI KUTOA STATEMENT AMBAZO NI TOO CONTRAVERSIAL, UNAMPA ADUI WA DR. slaa kutumia statement yako kwa maslahi yake, so kwanini zitto amekuwa involved with some circus lately, au anajiona kuwa yeye ni mtu muhimu sana chadema kuliko hata chama na wanachama! napata tabu kidogo kwa maana attitude hizo ni za ki ccm sana na sio chadema
 
Hivi niulize Zitto ni chama gani hasa? Maana sidhani kama yupo CHADEMA in the real sense.
 
Kwani Zitto kazaliwa mwaka gani? Nijuavyo mimi kazaliwa 1976. Kwa hiyo, kutegemeana na mwezi aliozaliwa, kama tarehe za uchaguzi mkuu zitabaki kuwa mwezi wa 10, na kama yeye alizaliwa kabla ya mwezi wa 10, basi 2015 atakuwa na miaka 39 na sio 38.
So is 39 = 40?
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom