Zitto Kabwe alazwa hospitali

mwenyekiti wa kamati ya bunge ya mashirika ya umma na mbunge wa kigoma kaskazini mh. Zitto kabwe amelazwa katika hospital ya agakhan baada ya kuugua ghafla vyanzo mbalimbali vya habari vimeeleza anaumwa maradhi yasijulikana hivyo basi natumia fursa kumuombea dua apone na mwenyezi mungu ampe afya njema ili aweze kuendelea na majukumu yake ya ujenzi wa taifa.

pole sana
 
Young promising careers seemly in doldrums.....................whatever is ravaging kabwe...........these are ominous signs that all is not well...................................and that ought to include his presidential aspirations..........................of 2015............
 
Wishing that each day brings your renewed strength, brighter times, and a healthier, happier you. Get well soon,zitto,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Wishing that each day brings your renewed strength, brighter times, and a healthier, happier you. Get well soon,zitto,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

Zitto ni mtu mzima jamani
hilo ua lenye mdori halimufai
Je amakuwa mtoto kumpa mdori?
 
Get well soon kamanda Zitto Kabwe, nchi hii bado inakuhitaji sana sana.
 
Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya mashirika ya umma na mbunge wa kigoma kaskazini mh. Zitto kabwe amelazwa katika hospital ya agakhan baada ya kuugua ghafla vyanzo mbalimbali vya habari vimeeleza anaumwa maradhi yasijulikana hivyo basi natumia fursa kumuombea dua apone na Mwenyezi Mungu ampe afya njema ili aweze kuendelea na majukumu yake ya ujenzi wa taifa.

Bora asihusiswe na maswala ya sumu
 
mmmmh! tunamuombea apone haraka kamanda, sijui ndo kama yale ya mwakyembe?

NI TOFAUTI NA MWAKYEMBE. Zitto akiwa na jambo haachi kusema kwa kuhofia serikali kuanguka, ndo maana kamlipua juzi tu Mkulo na sijui sakata lake linaendeleaje. Mwakyembe ana ficha wezi kwa maslahi ya serikali ovu. alifanya hivyo kwenye richmond report.

Zitto kabwe, Mungu atakupa uzima, utarejea na kuendelea na kazi zako. lakini nivizuri kupunguza majukumu uliyonayo. unaweza kuzidiwa kwa kazi nzito ulizonazo. Punguza wape na wengine nafasi ya kuutumikia umma
 
images
 
jamani jembe letu hilo,dah apone haraka
wameanza kuwalaza wenzao hospitalini wakati bunge linakaribia kuanza
atapona kwa uwezo wa Mungu na si kuumwa kwa matakwa ya mafisadi.
 
Mungu ni mwaminifu,atakuponya kamanda,ili tuendeleze kazi yake,ya kuikomboa nchi,
 
In the name of almighty God, be healed bro Kabwe! Bado nguvu yako inahtajika kwenye taifa hili lnalozdi kuonewa na wajomba zake na CCM!
Tutazidi kukujulia hali!
 
Back
Top Bottom