Hoja ya Zitto Kabwe ya kuunda Kampuni na kugawana mapato na DP World 50% kwa 50% ni ya kijinga!

Fumadilu Kalimanzila

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
1,651
5,126
Nilimsikia Zitto Kabwe akipendekeza eti tuunde Local Company halafu tugawane mapato 50% kwa 50% na DP World !

Hivi uzwazwa huu Zitto Kabwe kausomea wapi hapa Duniani?

Huwezi kujua equity yako kwenye investment mpaka kwanza ijulikane wewe umewekeza (nini) kwenye hiyo investment.

Sasa sisi Watanzania ndio wenye Bandari toka Dunia imeumbwa na tumeshawekeza hapo matrillioni ikiwemo mikopo.

Kinachotakiwa kwanza ni valuation ( uthamini) tujue kwanza thamani ya Bandari yetu na hiyo ndiyo equity yetu kwenye uwekezaji wowote utakaokuja hapo.

Akija Mwekezaji tujue ana mtaji kiasi gani na hiyo ndo itakuwa equity yake itakayo attract mgawo wake kwenye uwekezaji huo.

Mkataba wa Bandari aliosaini Mama na Brokers wenzake unasema jukumu la DP World ni kutafuta fedha hivyo ni dhahiri DP World HAWANA FEDHA in place na hawaja commit fedha zozote kwenye mkataba na wanasubiri wepewe hizo HGA na Concessions wakatafutie fedha!! Nchi yenye Viongozi Wajinga sana hii!

Zitto Kabwe hana tofauti na vilaza waliosaini mkataba wa Kimangungo wa kuuza Bandari zetu kwa Waarabu!

Tutaikumbuka sana sera ya Ndugu Edward N.Lowassa ya Elimu, Elimu, Elimu!
 
Kwanza tujue hiyo miundombinu watakayowekeza DP itagharimu kiasi gani. Ili tuone kweli tumeshindwa kuwekeza wenyewe. Suala la uendeshani sina shaka nalo wa TZ hatuko serious lakini kama fedha ya uwekezaji ipo ndani ya uwezo wetu tuwekeze wenyewe then tutafute watu serious wa kuiendesha hata kama watoke nje ya nchi lakini sio aina hiyo ya mkataba
 
  • Thanks
Reactions: wwg
Kheri ya Zitto aliesema 50/50 asilimia, lakini Serikali inasema yenyewe inataka 35%, ingawa hakuna mahala popote kwenye mkataba palipoandikwa Serikali itakua na 35%.
 
Back
Top Bottom