Zitto Kabwe alazwa hospitali

wakuu hii mipapa itatumalizia watu wetu muhimu mpaka lini? Kuna haja ya kufanya kitu kama sio leo basi kesho, this nonsense has to be put to bed
 
mwenye info kamili mie ndiyo naingia hapa toka huko porini .Haya imekuwaje ?
 
Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya mashirika ya umma na mbunge wa kigoma kaskazini mh. Zitto kabwe amelazwa katika hospital ya agakhan baada ya kuugua ghafla vyanzo mbalimbali vya habari vimeeleza anaumwa maradhi yasijulikana hivyo basi natumia fursa kumuombea dua apone na Mwenyezi Mungu ampe afya njema ili aweze kuendelea na majukumu yake ya ujenzi wa taifa.
 
Naomba kujua kalazwa hospitali gani hapo Dar wakuu kwakua kesho nitakua safarini kwenda Dar es Salaam ili niweze kumtembelea mtetezi wa taifa hili.
 
Ugonjwa ni ugonjwa na hayupo mwenye kupenda aumwe ......pole sana Zitto na Mungu akuponye haraka,inshallah!!
 
mmmmh! tunamuombea apone haraka kamanda, sijui ndo kama yale ya mwakyembe?

Duh! Cjui maana hawa magamba hawaaminiki. Maombi tutaendeleza ktk ibada ze2 za kutwa. NA MUNGU ATAENDA KUTENDA MAAJABU NA KAMANDA UTAPONA MAPEMA. Ugua pole Zitto Kabwe! Kamanda mojawapo wa anga.
 
Mungu amuepushe na kila hila mbaya amuepushe na nguvu za giza amrejeshee afya njema kamanda wetu mtetezi wetu arudi aendelee kufichua uozo uliwekwa kwenye vyombo vya kijani na kufunikwa na vitambaa vya njano na kutudanganya kwa kutuaminisha kuwa kuna vitu safi.
 
Back
Top Bottom