Zitto Kabwe alazwa hospitali

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,886
mwenye info zaidi amwage..
anaumwa nini????????

----------
UPDATES:
Taarifa toka hospitali zinadai anaendelea kuchekiwa, kichwa ndicho kinamsumbua na ana 'bacterial infection'
 
mh..hata kama kaugua kama ada ya binadamu itatia shaka kutokana na harakati zake na mtiririko wa matukio yaliowakumba frontliners
 
naye ni binadamu kuugua kitu cha kawaida, sio lazima mtu hata akiumwa mafua tu na kulazwa basi iwe habari kuuuuubwaaaa

hakuna aliesema sio kawaida
ndo maana tunataka more infos..
hata Mwakyembe inaweza kuwa ni kawaida but kwanza more infos.....
 
wasije wakawa wame-mwakyembe......maana anavyofatilia lileswala la CHC kila siku yuko Ernest & Young Company kupata ripoti....

Nakutakia afya njema kamanda
 
FYI: @zittokabwe is hospitalized at Aga Khan Hosp in Dar. We wish him a quick recovery

nimeiona muda mrefu sana. kama ni kweli pole sana kaka tupo pamoja kimaombi
 
sasa huo mkutano kamati yake ya bunge leo umeendeshwaje??????
 
jana tu alikuwa ame ita press conference kuelezea ufisadi wa 21 bilions, wa wizara ya Maliasili.
Imekuwaje tena badugu???
 
Back
Top Bottom