Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya mashirika ya umma na mbunge wa kigoma kaskazini mh. Zitto kabwe amelazwa katika hospital ya agakhan baada ya kuugua ghafla vyanzo mbalimbali vya habari vimeeleza anaumwa maradhi yasijulikana hivyo basi natumia fursa kumuombea dua apone na Mwenyezi Mungu ampe afya njema ili aweze kuendelea na majukumu yake ya ujenzi wa taifa.
Duh! Cjui maana hawa magamba hawaaminiki. Maombi tutaendeleza ktk ibada ze2 za kutwa. NA MUNGU ATAENDA KUTENDA MAAJABU NA KAMANDA UTAPONA MAPEMA. Ugua pole Zitto Kabwe! Kamanda mojawapo wa anga.
Mungu amuepushe na kila hila mbaya amuepushe na nguvu za giza amrejeshee afya njema kamanda wetu mtetezi wetu arudi aendelee kufichua uozo uliwekwa kwenye vyombo vya kijani na kufunikwa na vitambaa vya njano na kutudanganya kwa kutuaminisha kuwa kuna vitu safi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.