Zitto ahamishiwa Muhimbili hospital kwa matibabu zaidi

Status
Not open for further replies.
Ccm wametufikisha pabaya sana maana hata kama ni ugonjwa wa kawaida kwa mwanadamu yeyote, wanamageuzi wanahisi mchezo mchafu unafanyika. Anyway, for better or worse, tunakuombea kamanda upone haraka ili kuendelea na mapambano ya ndoto yako na watz wote ya kuirudisha dola kwa wananchi mnamo 2015.
 
Oh man! not now! when bunge session is just arround the corner. Not now, when the our nation need you most.
Get well soon.

tunakuombea mpiganaji.

duh! isije ikawa magamba wamemlisha kitu kibaya! I hope not!
 
kipanda uso au katupiwa jini?
Ccm inanjia nyingi za kuwaangamiza adui zake, miongoni mwa njia hizo ni uchawi na urozi, ndo maana kina maji marefu na shehe yahaya ni nguzo madhubuti za chama
Kweli kabisa mkuu,tupo kwenye nyakati za viongozi wa ajabu sana na wanaweza kufanya lolote bila hofu ya Mungu kulinda ufalme wao wa kidunia!
 
This might very easily be a simple CRYPTOCOCCAL MENINGITIS or CEREBRAL TOXOPLASMOSIS.

I hope the docs at Muhi2 are sharp enough to do a fundoscopy and lumbar puncture then start the guy on the meds as required.

Ni wakati wa kutooneana aibu, no matter how big a politician the guy is
mi mwenyewe imenikalia km crypto,dah tumuombee tu kwa mungu apone haraka.
 
Mungu tunakuomba umpatie uponyaji katika maradhi yanayomsumbua, mjaza na nguvu za kupambana na maadui wa Taifa hili, pia tuma Malaika wako welinzi wamkinge na mapepo wa baya wanao weza kumdhuru.

Kamamda Tunakutakia Kupona haraka, Kuna kazi nyingi za kuokoa nchi zinakusubiri.

People'ss Power
 
Pole sana mh. Zitto Zuberi Kabwe. Kigoma bado wanakuhitaji.
Robinson Lembo pia anakuombea upone haraka!
nafikiri sio kigoma tu wanaomhitaji bali tz nzima...no matter how suspicious we may sometimes get about him,.lakini the guy ni mzalendo sana....
get well quick,..bunge linakaribia kuanza,zitto anaumwa!!!mmmhhhhhh!!!!!!
 
Wana JF, nimemtembela Zitto mchana huu, hali yake siyo nzuri kabiasa. Tuendelee kumwombea ili, pamoja na wanaharakati wengine wa Chadema, waweze kuikomboa hii nchi inayoliwa na mafisadi wa CCM !
Duh kweli ww ni mnazi wa cdm, hata suala la ugonjwa nalo unataka wanaharakati wa cdm tu ndio wamuombee ! ndugu suala la ugonjwa halina chama , hayo maneno yako hapo juu kabisa yatoe
 
Mwenyezi Mungu akuponye na uendelee na majukumu yako ya kitaifa.Tanzania still needs you...!
 
This might very easily be a simple CRYPTOCOCCAL MENINGITIS or CEREBRAL TOXOPLASMOSIS.

I hope the docs at Muhi2 are sharp enough to do a fundoscopy and lumbar puncture then start the guy on the meds as required.

Ni wakati wa kutooneana aibu, no matter how big a politician the guy is
Aisee....thsi is serious you know

Cryptococcal meningitis is a fungal infection of the membranes covering the brain and spinal cord (meninges).

Toxoplasmosis is an infectious disease caused by the one-celled protozoan parasite Toxoplasma gondii. Although most individuals do not experience any symptoms, the disease can be very serious, and even fatal, in individuals with weakened immune systems
 
UPDATE:

Nimetoka kumuona Zitto dakika kadhaa zilizopita na naomba kuwataarifu kuwa hali yake ya afya imebadilika kwa kiasi kikubwa na imekuwa mzuri.

Tofauti na jana wakati anahamishwa kutoka Aga Khan, leo hii asubuhi anaweza kuzungumza na mimi nimezungumza naye kidogo. Kwa kweli malaria ilikuwa kali sana lakini madaktari wamefanikiwa kumpatia matibabu mazuri na homa imepungua. Kichwa bado kinamuuma lakini mwenyewe anasema si kama jana. Kwa maneno yake mwenyewe ameniambia kuwa amepata nafuu kubwa sana.

Madaktari walikuwa wanapanga kumpatia dozi nyingine ya malaria baada ya kumaliza ya kwanza asubuhi hii.

Tumuombee azidi kuimarika na kurejea katika afya yake ya kawaida.
 
Zitto pole sana lakini jambo hilo isilichukulie kirahisi ukipona, hebu tafuta kiini cha kuumwa. Nakuombea upone haraka ili uendelee na majukumu yako kama yalivyo.
 
Duh kweli ww ni mnazi wa cdm, hata suala la ugonjwa nalo unataka wanaharakati wa cdm tu ndio wamuombee ! ndugu suala la ugonjwa halina chama , hayo maneno yako hapo juu kabisa yatoe
Usikurupuke soma tena hakuna sehemu aliyosema wanaharakati wa CDM tu ndio wamuombee, usiwe obsessed sana na mambo ya CDM utakuwa hujifunzi.
quote_icon.png
By Wed
Wana JF, nimemtembela Zitto mchana huu, hali yake siyo nzuri kabiasa. Tuendelee kumwombea ili, pamoja na wanaharakati wengine wa Chadema, waweze kuikomboa hii nchi inayoliwa na mafisadi wa CCM !
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom