Zitto ahamishiwa Muhimbili hospital kwa matibabu zaidi

Status
Not open for further replies.
Get well soon mpiganaji wa kweli.......
Kutokana na hali ya kisiasa ilipofikia, nashauri kama mpenda maendeleo Chadema wafanye ya yafuatayo

1. Wasipuuze kuugua ghafla kwa viongozi wake wa juu na wabunge wanaotishia uhai wa serikali.
2. Kuwe na kitengo cha afya (kama hakipo) au daktari maalum mwaminifu atakae kuwa anasimamia kikamilifu matibabu ya viongozi na kutoa ushauri haraka.
3. Issue kama hii ya Zitto inaweza kuwa ugonjwa wa kawaida lakini pia inaweza kulenga kumtoa kwenye focus ya issues muhimu kuelekea kwenye vikao vya bunge, hivyo matibabu yake yapewe umuhimu wa pekee na kufatiliwa kwa karibu na doctor maalum.

Zinaweza kutumika mbinu za sumu na nyingine za hatari.nafikiri tuendele kutoa ushauri namna ya kulinda afya za viongozi wetu ktk mazingira ya siasa zetu zilipofika.
 
Mh! Heri waumwe "wasinzia usingizi wote mjengoni" kuliko mpiganaji wetu. Ahaaaa!! Au wanataka walete upuuzi wao wa majitaka? Ole wenu, alaaaa!!!!
 
Meningitis ingeambatana na kuumwa mgongo na homa kali. And it could be easily diagnosed...

Get well soon,I'm sure they ar ruling out all possibilities
This might very easily be a simple CRYPTOCOCCAL MENINGITIS or CEREBRAL TOXOPLASMOSIS.

I hope the docs at Muhi2 are sharp enough to do a fundoscopy and lumbar puncture then start the guy on the meds as required.

Ni wakati wa kutooneana aibu, no matter how big a politician the guy is
 
Get well soon zitto nadhani kama kuna mipango yoyote michafu mungu ataishinda yote kwa sala zetu,tumuombe mungu atusaidie
 
...dah!!, tunakuitaji kwenye uwanja wa mapambano Zitto, ugua pole na Mungu atakusimamia upone haraka.
 
Pole sana mh. Zitto Zuberi Kabwe. Kigoma bado wanakuhitaji.
Robinson Lembo pia anakuombea upone haraka!
 
According to Erasto Tumbo ,Zitto anauguwa ugonjwa wa kipanda uso. Ugonjwa gani huu na chanzo chake ni nini haswa? Ugua pole Zitto.
 
Kipanda uso au katupiwa jini?

CCM ina njia nyingi za kuwaangamiza adui zake, miongoni mwa njia hizo ni uchawi na urozi, ndo maana kina maji marefu na shehe yahaya ni nguzo madhubuti za chama
 
Kipanda uso ndio kinaitwa migraine na zipo aina nyingi kile kinachouma kwenye paji la uso ndio kinaitwa "kipanda uso"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom