Zitto ahamishiwa Muhimbili hospital kwa matibabu zaidi

Status
Not open for further replies.
This might very easily be a simple CRYPTOCOCCAL MENINGITIS or CEREBRAL TOXOPLASMOSIS.

I hope the docs at Muhi2 are sharp enough to do a fundoscopy and lumbar puncture then start the guy on the meds as required.

Ni wakati wa kutooneana aibu, no matter how big a politician the guy is

Are you serious? really? hizi differential umezitoa wapi? au ndo wale wale, waganga vidole "magamba" kina Mwita25 na Polonium 236?
 
wengi wamejitahidi kumtakia heri na yaweza kuwa inazaa matunda japo yawezekana kale 'kakundi ka 2% ya Watanzania' kanaombea vinginevyo!
Tunaendelea kukuombea kiongozi!
UPDATE:
Nimetoka kumuona Zitto dakika kadhaa zilizopita na naomba kuwataarifu kuwa hali yake ya afya imebadilika kwa kiasi kikubwa na imekuwa mzuri.

Tofauti na jana wakati anahamishwa kutoka Aga Khan, leo hii asubuhi anaweza kuzungumza na mimi nimezungumza naye kidogo. Kwa kweli malaria ilikuwa kali sana lakini madaktari wamefanikiwa kumpatia matibabu mazuri na homa imepungua. Kichwa bado kinamuuma lakini mwenyewe anasema si kama jana. Kwa maneno yake mwenyewe ameniambia kuwa amepata nafuu kubwa sana.

Madaktari walikuwa wanapanga kumpatia dozi nyingine ya malaria baada ya kumaliza ya kwanza asubuhi hii.

Tumuombee azidi kuimarika na kurejea katika afya yake ya kawaida
 
Pole bwana Zito Mungu atakulejeshea afya yako. Natumaini haya magamba hayategemei kukuHarrison.
 
This might very easily be a simple CRYPTOCOCCAL MENINGITIS or CEREBRAL TOXOPLASMOSIS.

I hope the docs at Muhi2 are sharp enough to do a fundoscopy and lumbar puncture then start the guy on the meds as required.

Ni wakati wa kutooneana aibu, no matter how big a politician the guy is

tuambie kwa kishwahili, usijifanye wa ughaibuni. unatujaribu sio? kwa nini kudhani?
 
kwa sasa anaendelea vizuri sana...sio kama jana hiyo update ya mpita njia mod iwekwe hapo juu
 
This might very easily be a simple CRYPTOCOCCAL MENINGITIS or CEREBRAL TOXOPLASMOSIS.

I hope the docs at Muhi2 are sharp enough to do a fundoscopy and lumbar puncture then start the guy on the meds as required.

Ni wakati wa kutooneana aibu, no matter how big a politician the guy is

naomba utumie lugha ya taifa mkuu ili wote tuelewe hayo maandishi ya mwanzo
 
Wana JF naomba tutumie hata muda wa dk tano kumuombea kamanda wetu.
Mungu atamponya ili arudi kulikomboa taifa.
Get well soon Kabwe.
 
Hao walisha sumu wasidhani na wao watasalimika hata tukiwakosa wao tutalipiza kwenye familia zao.ugua pole kamanda
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom