Zitto ahamishiwa Muhimbili hospital kwa matibabu zaidi

Status
Not open for further replies.
kwa mujibu wa Balozi wa Tanzania - India Bw. Kijazi, hali ya Mhe. Zitto, Mwakyembe, Mwandosya na Mhe. Chami zinaendelea kuimarika (ila bado matibabu yanaendelea)

Source: TBC 1 Habari ya saambili usiku 01.11.2011
 
Tuendelee kuwaombea hawa wapiganaji wapone mapema ili ukombozi wa Tanzania ufikiwe !
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom