Huyu Bishanga anaitakia nini ndoa yetu....alitaka mie niondoke ili iwaje.....hapa nipo na nitakuwepo mpaka mwisho wa nyakati....
Erotica keshakuwa wa kwako mara hii? Hata angekuwa wa kwako mapigo yake ungeyaweza weye? Au unataka akutegue niniliyu ifungwe POP?
Vin,we sweetlady mmevianza lini?
Erotica na Asprin Lini sasa tunaanza kazi?Afu Erotica, hebu rudi tena huku. Sikumaliza ukaguzi ujue..... Come this way babe......:fish2:
Hapo kwa red unaonaje ukaongea na Mike McKee akaniunganisha kwenye hii kazi tukaifanya pamoja. Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Sounds good. Lets hear what Erotica has to say about that.
Nimeshindwa nimjibu nani nim quote nani.... mimba kazi wajameni,
bila hawa wapenzi wangu wakiongozwa na my love Kaunga, wanaonipenda
kwa dhati sijui Ero ningemlilia nani mimi na hili tumbo la mapacha.
makungwito cacico, gfsonwin pamoja na mwenzato sweetlady lile somo la jana
nimelipata vyema. Kaunga my love kanikariirisha hadi niliyosahau.
my sweet babu Asprini nafurahi kuwa Mike McKee katukubalia wote tuweze
fanya hio kazi kwa pamoja thou mimi nipo bega kwa bega na Paxman, Kaunga
na Ndahani. FirstLady1 nakuaminia mamito. me love you veri veri hata
huyo Yummy pia nampenda hadi kumoyo.
bibi Mamndenyi hii chiken party nimepewa, akina bb wengine wakisikia watazimia. teh teh teh.
Kongosho nilikumiso, come this way na usimsikilize kabisa Young_Master.
mwaaaaah kwa niliowamiss. mwaaaaaaah kwa makungwito. mwaaaaaah mashostito.
mwaaaaah kwa mapapito. no mwaaaaaaah kwa Young_Master na Erickb52