Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erotica~~~~!

Mmmmh; au ndio mpango wa kutaka nipa ban? Utaweza mahubiri ya Kaizer weye?

Hayawezi hayajui.....yaani Kaunga.....huyu Erickb52 ni kati ya wale watoto watukutu nyumbani basi ameshindikana....ila dawa yake ipo dukani. kawaida watoto hawatumwi dukani, yeye naona mbado kujua
 
Last edited by a moderator:
Asee,,, Asprin, pole bana, gfsonwin hebu nambie kuna nini umemkoseapo ODM?

my love Kaizer ..............jamani sweetie waamini kuwa miye naweza kumkoseapo Asprin kweli? miye sijamkosea ila tu kajichanganya mwenyewe kwenye tego ma love na sasa anaipata joto ya jiwe. But nimeahidi kumpa dawa next week siku kama ya leo toa mbili masharti tu ataendelea kuumwa hadi nije na hiyo dawa toka mstuni nilikokwenda kuitafuta.
 
Last edited by a moderator:
12. Ukipata fursa ya kupata chakula cha usiku (Dinner) na Mzee Asprin, utamshauri kitu gani?

nitamshauri zile staili ambazo huwa anatumia kutukagua wajukuu zimepitwa sana.
of coz ni mzuri sana wa kukagua but still he should 'up' his game.
:tonguez:

13. Je ni jambo gani umewahi kulifanya kwa faida ya nchi yako na ambalo hata ukifa litabaki kama kumbukumbu kwa vizazi vijavyo?

ndio. kuna wakati kulikua na rumor kuwa vita ingeweza kutokea.
nikiwa naishi kwenye kijiji ambacho hakuna mabinti, nilijitolea kuolewa kwa
siku moja kwa vijana wote ambao walikuwa wanaenda vitani na walikuw hawajaoa.
kwamba hata wakifa wasife na ny**e. bahati mbaya au nzuri, nikiwa half way kwenye
hio shughuli ya kujitolea ikatangazwa vita haitakuwepo tena.

14. Je una ushauri gani wa MODS wa JF

namwambia X-PASTER aache kuvunga, mbona ananikataa wakati nanilihuu alimkubali?
namwambia Cookie hata kama kanikataa, moyo wangu haujavunjika bado.
namwambia Fang. nimemsamehe bure, of coz itabdi anitoe dina.
Namwambia Mike McKee
sijui ni mod or wereva, kuwa anitumie mimi kupiga kampeni ya members
kuweza kuchangia mfuko wa jf then malipo yangu iwe JF Premium membership

chini ya kiwango cha juu kabisa. namhakikishia tutaingiza mara 10 ya hio atayopta.
namwambia Roulette rudisha avata yako hii. ilikuwa inaniwezesha siku nikijilove kwa mzuka wa ke.
namwambia Invisible wat happens in antanarivo stays in anatanarivo. Kaunga anataka kum pm kwa udaku.

Afu Erotica, hebu rudi tena huku. Sikumaliza ukaguzi ujue..... Come this way babe......:fish2:

Hapo kwa red unaonaje ukaongea na Mike McKee akaniunganisha kwenye hii kazi tukaifanya pamoja. Vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Last edited by a moderator:
Hayawezi hayajui.....yaani Kaunga.....huyu Erickb52 ni kati ya wale watoto watukutu nyumbani basi ameshindikana....ila dawa yake ipo dukani. kawaida watoto hawatumwi dukani, yeye naona mbado kujua
Hehe Kaizer hatumwi kununua nanii ila vingine unamtuma tu...Mbona babu Asprin jana aliniachia kazi ya kimukagua wajukuu wenzangu?
 
Last edited by a moderator:
Hayawezi hayajui.....yaani Kaunga.....huyu Erickb52 ni kati ya wale watoto watukutu nyumbani basi ameshindikana....ila dawa yake ipo dukani. kawaida watoto hawatumwi dukani, yeye naona mbado kujua
Hehe Kaizer hatumwi kununua nanii ila vingine unamtuma tu...Mbona babu Asprin jana aliniachia kazi ya kimukagua wajukuu wenzangu?
 
Last edited by a moderator:
my love Kaizer ..............jamani sweetie waamini kuwa miye naweza kumkoseapo Asprin kweli? miye sijamkosea ila tu kajichanganya mwenyewe kwenye tego ma love na sasa anaipata joto ya jiwe. But nimeahidi kumpa dawa next week siku kama ya leo toa mbili masharti tu ataendelea kuumwa hadi nije na hiyo dawa toka mstuni nilikokwenda kuitafuta.
Duh hivi gfsonwin mnashare Kaizer na Kaunga na wengine kibao?
Mh mbona anawachanganya hivyo?
Mh nawaonea huruma sana
 
Last edited by a moderator:
Duh hivi gfsonwin mnashare Kaizer na Kaunga na wengine kibao?
Mh mbona anawachanganya hivyo?
Mh nawaonea huruma sana

mbona wewe mpashkuna , ..........of course miye ni kungwi so huwa natrain watu wote hapa nawafundisha 3some na pia nataka nirudi kwako. so usijali nikikuitaj just kujua kama kweli Amyer anpata ile raha yenyewe na waujua mchezo? nikitoka kwako nahamia kwa babu yenu Asprin so ngoja nimalize session huku
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom