Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erickb52~~~~!

Kabla Erickb52 hajajibu maswali yako, hebu tuambie Bi Zinduna, hapa we na Erotica ilikuwaje mkaingia choo cha kiume?

561240_424147874275500_1818551210_n.jpg
Mkuu Hawa ni wanaume wanafanya Pipiii toilet?Mkuu Asprin?
 
Last edited by a moderator:
nikijiridhisha kuwa hajajibu hoja yoyte nitamsaidia kujibu maswali yake maana mimi na huyu kaka yangu hatufichani sana!!
 
@Erick52 leo nipo kwenye hatua za kuvunja mahusiano yangu na Madame B ,na nimebakiza hatua moja tu ya mwisho,nayo ni mama yetu Mamndenyi apitishe hili ili iwe taraka harari,je ni upi mtizamo wako katika hili?
 
Last edited by a moderator:
@Erick52 leo nipo kwenye hatua za kuvunja mahusiano yangu na Madame B ,na nimebakiza hatua moja tu ya mwisho,nayo ni mama yetu Mamndenyi apitishe hili ili iwe taraka harari,je ni upi mtizamo wako katika hili?
 
Last edited by a moderator:
ndio uanze kusema oohh obama kaka yangu,mengi ni mjomba wangu,alafu mm ndio nalimiki serena hotel ujue
alafu sipendi baba anavonilazimisha eti aninunulie jet wakati mm sitaki kabisa ...then unamgeukia eti we unaonaje au nimuambie anunue then nikupe wewe swt...hahhaha u made ma day

Ha ha ha mistari ya vijana waleo bana! wanapenda kuwataja wazazi wao eti baba anataka mi niende south Africa ila mimi staki, au niende swt! Enzi zetu hatukua na muda wa kukaa na binti mnazungumza. Ilikua barua na kuvizia akitoka mtoni kwa muda mfupi tu.
 
Nimezaliwa enzi za mwalimu
Sijaoa,ninataraji kuwa padri
Wa kuzugia sina Amyner ananitosha
Zinduna upo?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom