Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erickb52~~~~!

Zinduna

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
2,378
3,379
avatar29658_17.gif


Erickb52
katika pozi

Sublakheri wapenzi wasomaji wa JF, kwa wale ndugu zangu wakristo nasema Bwana Yesu asifiwe sana na wale ndugu zangu wengine Wapagani nawasalimia kwa kikwetu "Mizimu ya tate ikagone"

Haya tena leo mjengoni nipo na ndugu yetu, jamaa yetu, rafiki yetu na kibuzi chetu Erickb52. Mahojiano yangu na Erickb52 yatasawiri zaidi kwenye maisha yake binafsi na kazi zake za mapema.

Line za ku-post Comments ziko wazi, Mwana JF yeyote anaweza kutumia fursa hii kumuuliza Erickb52 swali lolote na yeye bila shaka atayajibu maswali yenu kwa kadiri atakavyopata muda.

Kwa kuanza ninayo maswali kumi na mbili ambayo ningependa kumuuliza Erickb52:

1. Je umezaliwa awamu ipi ya utawala katika nchi yetu?
2. Je Ulishawahi kucheza mchezo wa baba na mama na ule wa kujificha utotoni?
3. Je umeoa? Kama umeoa, Je una watoto wangapi, na kama hujaoa, ina maana huna hata kabinti ka kuchombeza?
4. Je umewahi kupitisha usiku na kahaba?
5. Je ulipojivinjari na kahaba uliona tofauti yoyote na unachokipata kutoka kwa Mke/Mpenzi wako?
6. Je umetahiriwa, kama umetahiriwa, ulitahiriwa ukiwa na umri gani, na je ulitahiriwa kwa ganzi au kavu kavu kama wamasai?
7. Je ni tukio gani liliwahi kukuhuzunisha sana?
8. Je ni tukio gani liliwahi kukufurahisha sana
9. Je unapenda kuvaa nguo za aina gani?
10. Ukipata fursa ya kupata staftahi na Preta, utamshauri kitu gani?
11. Je ni jambo gani umewahi kulifanya kwa faida ya nchi yako na ambalo hata ukifa litabaki kama kumbukumbu kwa vizazi vijavyo?
12. Una ushauri gani kuhusu hiki kipindi cha Zinduna Talk Show…….

Haya nakaribisha maswali yenu wadau na hivi punde Bwana Erickb52 atakuja kuyajibu maswali yenu.

Karibuni sana
 
Last edited by a moderator:
Hayo maswali hayajakamilika. Hujui Eric alisha come this way

kwa Ero tukabanjua wiki nzima? au hugusii mmeweka siri?
 
wapenzi wa Zinduna Talk Show msione kimya, Erickb52 anajipiga na VALUU kabla ya kutika chumba cga mahojiano maana anajua leo kiti hiki ni cha moto, wadau wamempania sana sasa anatafuta mbinu ya kujihami mapemaaaa.
 
Last edited by a moderator:
Hayo maswali hayajakamilika. Hujui Eric alisha come this way

kwa Ero tukabanjua wiki nzima? au hugusii mmeweka siri?
Erotica ndio maana nikaacha nafasi ya maswali ya nyongeza, sasa unadhani nikiuliza kila swali wapenzi wa kipindi hiki watauliza nini?
 
Last edited by a moderator:
Asprin kuna muhuni alibadilisha kibao cha maelekezo, tukajikuta tumepotea..........
Haya muulize Erickb52 maswali ya nyongeza.................

Sawa ndugu mtangazaji....Baada ya kupigwa chini na huyu bibie Yummy, Mheshimiwa Erickb52 uliamua kuweka mgomo na kuhamia rodini

600215_460688567292089_1922430240_n.jpg





Utarudi lini nyumbani kwako, nasikia Erotica anamtesa sana mwanao eti

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
ndo nini kumuuliza mtoto wa mwenzio maswali magumu kama haya:

4. Je umewahi kupitisha usiku na kahaba?
5. Je ulipojivinjari na kahaba uliona tofauti yoyote na unachokipata kutoka kwa Mke/Mpenzi wako?
6. Je umetahiriwa, kama umetahiriwa, ulitahiriwa ukiwa na umri gani, na je ulitahiriwa kwa ganzi au kavu kavu kama wamasai?

Ameshakimbia mtihani.
 
Bado Erickb52 anajipanga kabla ya kutia maguu anga hizi.
Kuna swali nilizahau kumuuliza Erickb52:

Hifii, ulipokwenda kwa ka-haba ulikwenda kwa kunyataaa au ulikwenda Vap~~~~~~~?
120323-oil-spill-bodo-440a.photoblog500.jpg
 
ndo nini kumuuliza mtoto wa mwenzio maswali magumu kama haya:

4. Je umewahi kupitisha usiku na kahaba?
5. Je ulipojivinjari na kahaba uliona tofauti yoyote na unachokipata kutoka kwa Mke/Mpenzi wako?
6. Je umetahiriwa, kama umetahiriwa, ulitahiriwa ukiwa na umri gani, na je ulitahiriwa kwa ganzi au kavu kavu kama wamasai?

Ameshakimbia mtihani.

Lol kumbe ulikuja, naona post yangu ilikamatwa na Kongosho
 
Last edited by a moderator:
ericB52 :-

- umewahi kufumaniwa?
- umewahi kukataa mimba ngapi?
- wewe na wasichana wako mshachoropoa mimba ngapi?
- ushawahi kutembea na demu wa rafiki yako?
- umeajiriwa?
- ushawahi kugonga demu wa ofisini kwenye choo cha ofisi?
- ushawahi kumla bosi wako wa kike?
- ushawahi kutembea na jimama aka jibibi?
- ushawahi kujivinjari threesome?
- ushamcheat amyner mara ngapi? Na nani?
 
Last edited by a moderator:
Lol lol mtu wangu ameanzaaaa
Hahahaha........... umeamkaje Yummy? Umefanya mazoezi au nije nikusaidia? Naona ushaniita mtu wako, na mtu wako mie nna aleji na vitambi.
chinese2.jpg


Umeona enzi zangu na Mtambuzi? Kipindi hicho tulikuwa bado tuna sura ya Mungu

-6.jpg


Huyu Erickb52 alikuwa bado kuzaliwa. Afu we Zinduna.... mbona huyu kijana haji kujibu maswali yetu?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom