Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erickb52~~~~!

Sawa ndugu mtangazaji....Baada ya kupigwa chini na huyu bibie Yummy, Mheshimiwa Erickb52 uliamua kuweka mgomo na kuhamia rodini

600215_460688567292089_1922430240_n.jpg

Utarudi lini nyumbani kwako, nasikia Erotica anamtesa sana mwanao eti

attachment.php
Asprin na Zinduna hii pic ya mtoto mmenikumbusha utundu wangu wa utoto niliwahi kuchimba shimo na kumkalisha kwa kumfukia mchangani mpaka usawa kiuno, mdogo wangu aliyekuwa anatambaa na kutusimamisha kila tulivyokuwa tukicheza mateka.
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaaa TaiJike umenichekesha mpaka basi,ulikua mtundu weweeee
 
Last edited by a moderator:
BADILI TABIA
Sijawahi kufumwa live ila nimewahi bambwa na ndokudom kwenye bag
Sijawahi kuvinjari na jimama
sijawahi kukataa mimba hata moja
Sijawahi kumla bosi wangu coz naogopa memo
Kumcheat Amyner nimewahi na wafuatao
Erotica Madame B TaiJike Remmy Kipipi BADILI TABIA Kongosho na Yummy ambaye ndo kanichelewesha kwenye show

Hivi Erickb52..........hapo ulikuwa unajibu tu kama unafyatua tofali, ulidhani mwenzio ana moyo wa chuma???

Samahani kwa kuwarudisha nyuma.....no any malice intended!!
 
Last edited by a moderator:
Duuh nimepitwa hii talk shoo ..nakuja ngoja ninywe poleji wakati natafuta maswali ya Nyongeza
 
Back
Top Bottom