Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erickb52~~~~!

Na Bange pia alizianzia utotoni...khaa!
392413_323196264410297_100001597792460_895795_2038520985_n.jpg
akimaliza kuvuta anaanza kujiona bonge la HB utamkuta mipozi inabadilika namna hii img_1765.jpg
 
Hahahaha.... bibie CUTE unauliza nywele saluni? Mbona mara nyingi tu?

attachment.php

Hii ilikuwa mwaka jana tu, akabambwa.

Na mwaka huu akaingia kwenye anga za babu....
149395_338103839583290_230511490342526_921288_2078536454_n.jpg

Chezeya Erickb52 weye?
hahhaha huyu jamaaa ni moto wa kuotea mbali na sijui yuko wapi au ndio kakamatwa kwa kosa hilo hapo juu
 
Hahahaaaaa halahala humu ndani tusije tukatolewa picha za watoto zetu....lol
Yummy
relux mpz hakuna mtu ataleta ya mtoto wa mtu ...ila umenifanya nitabasamu mana itakua umewaza speed ya cute na Asprin humu ndani ktk kuleta ushahidi juu ya kijana wetu mpendwa Erickb52 imekua kali sana nikutoe hofu hakuna kitakachoharibika
 
Hivi CUTE Kwanini hapa ulikuwa unaniangalia hivi?

attachment.php
 
Back
Top Bottom