Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erickb52~~~~!

kaka mbna unajichanganya? umesema huna wa kuzugia, mara Amyner anakutosha. afu huo upadri utaendaje while uko na amyner????
Duh hapo sikujibu mimi...ni ndovu hizo..
Jibu langu ni kuwa niko single but occupied
 
Last edited by a moderator:
Hayo maswali hayajakamilika. Hujui Eric alisha come this way

kwa Ero tukabanjua wiki nzima? au hugusii mmeweka siri?
hehehee ala Erotica mambo yako si mchezo dah mtoto utadhani ndocumetoka unyagoni jana mh
naimiss sana ile siku
 
Last edited by a moderator:
ericB52 :-

- umewahi kufumaniwa?
- umewahi kukataa mimba ngapi?
- wewe na wasichana wako mshachoropoa mimba ngapi?
- ushawahi kutembea na demu wa rafiki yako?
- umeajiriwa?
- ushawahi kugonga demu wa ofisini kwenye choo cha ofisi?
- ushawahi kumla bosi wako wa kike?
- ushawahi kutembea na jimama aka jibibi?
- ushawahi kujivinjari threesome?
- ushamcheat amyner mara ngapi? Na nani?

BADILI TABIA
Sijawahi kufumwa live ila nimewahi bambwa na ndokudom kwenye bag
Sijawahi kuvinjari na jimama
sijawahi kukataa mimba hata moja
Sijawahi kumla bosi wangu coz naogopa memo
Kumcheat Amyner nimewahi na wafuatao
Erotica Madame B TaiJike Remmy Kipipi BADILI TABIA Kongosho na Yummy ambaye ndo kanichelewesha kwenye show
 
Last edited by a moderator:
teh bora ndovu nimezizoea valuu zitaniua bhana lol

Mhe "Fifty two" habari nilizozithibitisha Ar una Banga mbili za adabu, moja Njiro container na ya pili Sanawari.
Dar una nyumba Mbezi beach umewapangisha Amreef, na Mwz unamiliki nyumba mbili Capri point na zote zina wapangaji.
Mkubwa kwa mali zote hizi na kwa umri wako hakuna ufisadi wowote kukuhusu?
Sababu upo ushahidi kua kwa nyakati tofauti umepata kumiliki vitalu vya uindaji wakt wa Mhe Maige.
 
Bado Erickb52 anajipanga kabla ya kutia maguu anga hizi.
Kuna swali nilizahau kumuuliza Erickb52:

Hifii, ulipokwenda kwa ka-haba ulikwenda kwa kunyataaa au ulikwenda Vap~~~~~~~?
120323-oil-spill-bodo-440a.photoblog500.jpg

hahahaa nilinyata coz niliogopa kuonwa nyumba ya pili wangedhani kibaka
 
Mhe "Fifty two" habari nilizozithibitisha Ar una Banga mbili za adabu, moja Njiro container na ya pili Sanawari.
Dar una nyumba Mbezi beach umewapangisha Amreef, na Mwz unamiliki nyumba mbili Capri point na zote zina wapangaji.
Mkubwa kwa mali zote hizi na kwa umri wako hakuna ufisadi wowote kukuhusu?
Sababu upo ushahidi kua kwa nyakati tofauti umepata kumiliki vitalu vya uindaji wakt wa Mhe Maige.
Ni kweli namiliki hizomali ila nimezipata kwa safari zangu za kijazi nje ya nchi plus biashara yangu ya softwar yenye makao makuu yake Nairobi
 
Hahahaha........... umeamkaje Yummy? Umefanya mazoezi au nije nikusaidia? Naona ushaniita mtu wako, na mtu wako mie nna aleji na vitambi.
chinese2.jpg


Umeona enzi zangu na Mtambuzi? Kipindi hicho tulikuwa bado tuna sura ya Mungu

-6.jpg


Huyu Erickb52 alikuwa bado kuzaliwa. Afu we Zinduna.... mbona huyu kijana haji kujibu maswali yetu?

Asprin niko huku njoo uulize maswali yako faster
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom