Gudboy
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 867
- 77
- Thread starter
- #21
wewe mpwa nikikutajia mademu wangu wote, wewe huwafikii na umri uliokua nao na pia kupenda kwako mademu kote, ila huniwezi bro. naweza kuwapanga foleni mwenge hadi wapi sijui huko.Heri yetu sisi ambao tuko wawazi. C unajua njia ya mwongo ni fupi. Afadhali yako wee uko muwazi kuwa mlala pembeni yako mtarajiwa bado mko kwenye process. Huyu mmoja yuko Secondary, mwingine chuo, kesho atatuambia mwingine amegradradyueti std VIIB. Hahaha!