Zawadi gani inamfaa huyu

Heri yetu sisi ambao tuko wawazi. C unajua njia ya mwongo ni fupi. Afadhali yako wee uko muwazi kuwa mlala pembeni yako mtarajiwa bado mko kwenye process. Huyu mmoja yuko Secondary, mwingine chuo, kesho atatuambia mwingine amegradradyueti std VIIB. Hahaha!
wewe mpwa nikikutajia mademu wangu wote, wewe huwafikii na umri uliokua nao na pia kupenda kwako mademu kote, ila huniwezi bro. naweza kuwapanga foleni mwenge hadi wapi sijui huko.
 
Dogo naona umekuja kwa shari tu hapa huna lolote!! hivi uwe na mademu lukuki uje uombe ushauri wa kitoto namna hiyo mara demu anaomba vocha mara kafaulu mock! grow up man!
 
wewe mpwa nikikutajia mademu wangu wote, wewe huwafikii na umri uliokua nao na pia kupenda kwako mademu kote, ila huniwezi bro. naweza kuwapanga foleni mwenge hadi wapi sijui huko.

MHN, okey noted once again.
 
wewe ni kilaza ndio maana ukaanguka, lakini wenzio huwa tunamaintain au kupata za juu zaidi. sasa kama ulibweteka ulitegemea itakuja hiyo hiyo au muujiza

NINGEKUWA KILAZA SAA HIVI NISINGEKUWA NA DEGREE YA TELECOM na nakula bata zain.
 
wewe mpwa nikikutajia mademu wangu wote, wewe huwafikii na umri uliokua nao na pia kupenda kwako mademu kote, ila huniwezi bro. naweza kuwapanga foleni mwenge hadi wapi sijui huko.

Hahaha! Toto African VS Barcelona FC!!! What a match! Unapanga folen kuanzia mwenge mpaka sijui wapi lakini still unataka tukushauri zawadi kwa ajili ya vitoto ambavyo bado vinajifunza kuoga! Kama hata zawadi ya kumnunulia mpenzi bado unaomba ushauri JF, hii inaweza kutufanya tuamini bado wewe ni pupil. Kina Msindima, Carmel, Nyamayao, Ziondaughter, MJ1, FL1 na wengineo ni mama zako. Ulipaswa uwaamkie kwanza Shikamooni mama zangu ndio uombe ushauri. You are still a kid, Gentleboy.
 
Swadakta, kwa hilo naomba radhi kwa kuto wasilimia, shikamooni wote mliotajwa na bro crispin
 
Hivi Gudboy una wachumba wangapi maana kila demu mchumba duh mkuu tutakuzika hivi punde na yule demu wa Mafinga je au ndo yeye kaua six?
 
DOGO:embu tuliza akili (mnunulie hata CHUPI nyekundu basi kwa matokeo yake ya mock)

matokeo rasmi ya mwisho akipata one tena mnunulie BIKINI ya kijani.

HATUTAKI BLA BLA Vitu vingine si vya kuomba ushauri.
 
Hivi Gudboy una wachumba wangapi maana kila demu mchumba duh mkuu tutakuzika hivi punde na yule demu wa Mafinga je au ndo yeye kaua six?
hapana yule bado yupo moro anakumua anasoma cha 5 mkuu
 
Lol! Mpwa kumbe hata ile thread ya demu wa Mafinga alianzisha mtoto mzuri? Kweli huyu kiboko!
 
Haya bana ila achana na vitoto vidogo vinuka mkojo hivi utaozea jela dogo maana kikidaka mimba tu mzazi anazaa na wewe mbona mashuga mamy yamejaa dogo jipumnzishe huko kuliko kumega videnti unakuta na lizee la TRA nalo linamega kishori hicho hicho.
 
nimeipenda hiyo signature yako, lakini mimi huwa situmii kilevi cha aina yoyote ile mkuu
 
Haya bana ila achana na vitoto vidogo vinuka mkojo hivi utaozea jela dogo maana kikidaka mimba tu mzazi anazaa na wewe mbona mashuga mamy yamejaa dogo jipumnzishe huko kuliko kumega videnti unakuta na lizee la TRA nalo linamega kishori hicho hicho.
vinanitongoza vyenyewe, hawa wamama nimewachoka siku hizi, wanaweza kuvunja ndoa zao bure kwa sababu yangu, nikiwaonjesha tu hawaachi kabisa, wanataka tena na tena matokeo yake kukana waume zao. sasa niende wapi kama huku nako hutaki mkuu
 
Heri yetu sisi ambao tuko wawazi. C unajua njia ya mwongo ni fupi. Afadhali yako wee uko muwazi kuwa mlala pembeni yako mtarajiwa bado mko kwenye process. Huyu mmoja yuko Secondary, mwingine chuo, kesho atatuambia mwingine amegradradyueti std VIIB. Hahaha!

usisahau pia jana kwenye ile thread ya wanaume kuogopa wajawazito uliposema una ka binti alikuomba awe mkwe wako...
 
vinanitongoza vyenyewe, hawa wamama nimewachoka siku hizi, wanaweza kuvunja ndoa zao bure kwa sababu yangu, nikiwaonjesha tu hawaachi kabisa, wanataka tena na tena matokeo yake kukana waume zao. sasa niende wapi kama huku nako hutaki mkuu

nimekumbuka wewe si ndo wanadai pale mtaani kwenu kuwa HAISIMAMI au?

wanaume wenye maneno mengi kuhusu wanawake ooo mara na maden wengi oo hivi na vile hakuna kitu akiwekwa mguu kati ngoma inasinyyaaa kama pono(samaki)
 
usisahau pia jana kwenye ile thread ya wanaume kuogopa wajawazito uliposema una ka binti alikuomba awe mkwe wako...

Hahaha! Sikuiona hiyo! Lol! Ahsante kwa kutunza hiyo kumbukumbu. Kweli mtoto wa mwenzio ni wako! Angesema tu nimwachie wife kama kweli ana makucha makali.
 
Back
Top Bottom