Zamaradi atoa tamko baada ya kushindwa Ubunge

Status
Not open for further replies.
anaemgonga anafaidi...! hebu mvue nguo kimawazo hapo uone..!

angeshinda sidhani kama zitto angemuacha..!
 
Ni kweli kaandika "AM VERY HAPPY" au wadau waliikosa ile "I" inayotakiwa kwanza katika sentensi hii katika process ya copy paste ?

Maana inawezekana kabisa English course au a total refrain refrain from the language may be appropriate.
 
anaemgonga anafaidi...! hebu mvue nguo kimawazo hapo uone..!

angeshinda sidhani kama zitto angemuacha..!
Heh heh jamani hayo mawazo yatawapeleka kuzimu unamvua mtu nguo kwa macho lo hii kali,naona mfadhaiko uko around the corner mwe
 
Nimependa Nyo Nyo zake! LOl

0705%2BDikololo%2B006.jpg
 
Sasa wana ccm kama na huyu nae wangempigia kura ndio kabisa ningekuwa siwaelewi, huyu hakutakiwa kupata hata fomu ya kugombea ubunnge
 
Sasa wana ccm kama na huyu nae wangempigia kura ndio kabisa ningekuwa siwaelewi, huyu hakutakiwa kupata hata fomu ya kugombea ubunnge

Wewe si unaona wakware hapo juu wanachofikiri ni "anaemgonga anafaidi" na "napenda nyonyo zake" ? Basi type hizo zimejaa kila sehemu, badala ya kumuangalia mwanamke kama mtu na kuangalia uwezo wake wa kufikiri na akili wakware wanaona ngono tu.

Wewe unafikiri tunapataje mifataki kama kina Sophia Simba ? Unafikiri Kubenea aliongopa? Tatizo alichapisha kitu bila ushahidi wa kutosha tu, lakini kina Sophia Simba wanaanza hivihivi.

Thanks the atoms for the fact that she did not get any chance.

AM VERY HAPPY she did not proceed in the race, hicho kivazi tu scandalous. If you don't give a s.h.it why are you running in a political race?

Au anavaa fulana ambazo haelewi maana yake ? Kama ana run nchi zenye political campaigns watu wanaiweka hiyo picha katika bonge la ad, halafu linapigwa bonge la billboard "I don't give a shyt about you, but give me your votes"
 
Mmh naona ubunge wa safari hii unatupeleka siko pengine sasa ni ujasilia mali (kutafuta pesa) lakini sio kutetea maslahi ya nchi na wananchi wake maana kila sampli ubunge haijalishi jamii inakuonaje katika muonekano wako kama huyu miss wapi sijui clauds.:nono:
 
eti aligombea lakini hakutaka kushinda, haka ka bonehead ndio kanawekwa kwenye radio Watanzania tukasikilize? Isije kuwa ndio wale Sugu anaowaongelea yatima wanaosaidiwa na kurepiwa repiwa pale clouds fm

Shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! shiiiiiii! shi! :tape::tape::tape::tape:
 
Uzuri wangu huwa nina radars za kudetect bs from 10,000 miles away. Yaani nilisha i count off Clouds FM miaka kibao iliyopita.

Wala sishangai kuona mtangazaji wa radio hii anavaa hicho kivazi, kujiaibisha kwa kuandika "AM VERY HAPPY" etc etc. Halafu the nerve ! Get an English course already before even dreaming of running for parliament.

Kama mkuu anavyosema hapo juu, kama huyu dada hana sifa za utangazaji wa radio ya kweli (obviously) hata kama si yatima chances are amepata kazi kwa kujikomba na kufanywa chakula ya watu. Hawa ndio watu wenye chances za kupata ubunge bongo.

Wengine ndio hao kina Shigongo type (nasikia kapita) Mo Dewji na Nyalandu na Shyrose type.

Ndiyo maana mara nyingine hata kama nampinga January Makamba kwa kusema "Amillion flies eat shyt, they can't be wrong" akiwalinganisha watanzania na amillion flies, naona at least yeye anamjua Dag Hammarskjöld, na at least hawezi kuandika "AM VERY HAPPY". Not that I am entirely satisfied with him either, lakini kama mtu unapewa kuchagua huyu na huyo unaweza kuchagua the lesser of two evils, of course kungekuwa na mgombea wa upinzani anayeeleweka ingekuwa even better
 
DC.JPG



Fancy Nkuhi, yeye ameshinda! Hongera Fancy....Beuty and brains!!
 
oooh mbavu zangu mie...its a bit funny kutest zali kwenye mambo nyeti...afu ukishindwa unajipliz kwa kusema haikuwa nia yako kushinda...then kwa nini uligombea kama haikuwa nia yako kushinda??tusiwazibie nafasi watu wenye uwezo na nia ya uongozi,pengine kuna watu wa maana walikosa fomu au walishindwa kugombea coz of number of wagombea,kumbe wengine mlikuwa mnatania tu???hahaaa my ribs:smile:
 
oooh mbavu zangu mie...its a bit funny kutest zali kwenye mambo nyeti...afu ukishindwa unajipliz kwa kusema haikuwa nia yako kushinda...then kwa nini uligombea kama haikuwa nia yako kushinda??tusiwazibie nafasi watu wenye uwezo na nia ya uongozi,pengine kuna watu wa maana walikosa fomu au walishindwa kugombea coz of number of wagombea,kumbe wengine mlikuwa mnatania tu???hahaaa my ribs:smile:

Ukisema haikuwa nia yako kushinda watu makini hawawezi kukuchukulia seriously maisha yako yote, kwa sababu utaonekana mtu wa kufanya vitu bila ya kuwa na moyo navyo. Unataka ujiko wa kuonekana tu, lakini huna nia ya kushinda. Hii ndiyo ilikuwa beef yangu na mgombea mmoja humu kabla hajajitangaza jina.

Sasa kama hakuwa serious katika hii race, tutajuaje huko mbele kama atakuwa serious au atakuwa anacheza cheza tu bado?
 
Hii ni dalili mbaya ya anguko la siasa ndani ya Tanzania. Ikitokea hata mwenda wazimu akaamka asubuhi na kutoa tamko la kugombea udiwani maana yake ni kwamba kesha ona siasi iliyopo ni ya kiwenda wazimu.
Si pendi kukosoa maamuzi yake kwani aliona hilo ni jambo lenye kuwezekana.
Na mimi pia nitajaribu next time.
 
ndio alikuwa nagombea ubunge? heee kweli Amina kawafungua wengi macho/mackio khaa...hiyo pesa hukuitaka tu ungenishirikisha yamengekupata hayo.
Kwa vile kilaza Jakaya Kikwete ameweza kupata urais.....hata vichaa sasa wanajiona wanaweza kuingia kwenye siasa. 'Profesa' Majimarefu, Shigogo....
 
She doesn't give a shit anyway...we tuletee movie stories kwenye leo tena. Hayo mambo ya kujaribu jaribu hata kitu unachojua utashindwa yanasaidia nini?
 
Hii ni dalili mbaya ya anguko la siasa ndani ya Tanzania. Ikitokea hata mwenda wazimu akaamka asubuhi na kutoa tamko la kugombea udiwani maana yake ni kwamba kesha ona siasi iliyopo ni ya kiwenda wazimu.
Si pendi kukosoa maamuzi yake kwani aliona hilo ni jambo lenye kuwezekana.
Na mimi pia nitajaribu next time.
Ni ishara ya mtu kutojua unataka nini. The sole purpose of any war is victory...imagine you start a war while you know you gonna lose. Hiyo ipo kwenye movie tu not in really life.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom