Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 887
- 2,201
Leo nilifika Ubalozi wa Marekani kwa shughuli yangu binafsi. Nimekutana na jamaa yangu mfanyakazi wa Ubalozi huo. Ameniambia baada ya Mbowe kufanya mazungumzo na Ubalozi huo kuhusu masuala ya demokrasia na siasa za Tanzania, Marekani imemuunga mkono.
Na baada ya Mbowe kuondoka Balozi huyo aliongea na Ubalozi wa Uingereza na EU na kwa pamoja wamekubali hoja za Chadema na kwamba maandamano ni haki yao.
Kwamba wikiendi hii watatoa tamko la pamoja kusimama na Chadema. Tayari raia wa nchi hizo Yani USA, Uingereza na EU wameambiwa tarehe 24/1/2024 wasalie majumbani maana Polisi na Askari kanzu tayari wamepewa maelekezo kutumia silaha za moto kuua ili kuwatisha waandamanaji. Swali ni je, watauawa watu Gani?
Pia Ubalozi huo umemsihi Mbowe kuwaelekeza waandamanaji kuheshimu mali za watu, kuepuka vurugu na unawasiliana na Deep State kuyaruhusu.
Ikumbukwe Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Paul Makonda ni miongoni mwa wanaopinga maandamano hayo ilhali akijua hatakiwi katika nchi hizo kwa tuhuma ya mauaji na uvunjifu wa haki za binadamu. Maandamano haya yakikabiliwa na Polisi inaweza kutuletea hathari Hadi katika jumuiya hizi ambao ndio wabia na wahusani wetu kiuchumi kupitia WB na IMF.
My take: Hekima itumike kuyafanya maandamano haya kuwa ya amani. Lakini tayari macho ya Dunia Yako jijini Dar es salaam tarehe 24/1/2024 ambapo inategemewa watu zaidi ya milioni moja kuandamana. Hata Polisi hawana risasi milioni moja. Tuepuke ya Ghaza.