Jamaa hakupotezwa. Amestaafu anakula matunda ya utumishi wake. Jamaa aliona uzushi kujihusisha na utawala wa magamba!
Jamaa hakupotezwa. Amestaafu anakula matunda ya utumishi wake. Jamaa aliona uzushi kujihusisha na utawala wa magamba!
<br />Yupo Buigiri anajihusisha na ufugaji wa uduvi na dagaa wa maji chumvi. Amechoka mbaya kiasi kwamba pikipiki yake haina hata 'side mirrors'
<br />alikufanya nn Dena?
Yupo Buigiri anajihusisha na ufugaji wa uduvi na dagaa wa maji chumvi. Amechoka mbaya kiasi kwamba pikipiki yake haina hata 'side mirrors'
Umenikumbusha wakati akiwa Shy dah sitaki kumzungumzia alinitenda mbaya. Sitaki hata kumkumbuka