Yupo wapi kada maarufu wa CCM Nicodemus Banduka

Abakumbukwa Kama mwizi
Aliiba chama kikuu Cha ushirika Ruvuma Hadi akasababisha aliyekuwa meneja mkuu wa hicho chama kujiua Iringa alikomfuata akiwa mkuu wa mkoa wa Iringa Baada ya kuhamishwa toka Ruvuma

Meneja lilipobuma alimfuata kuwa mzee mapesa ya watu hawakuelewana nadhani yule meneja akajiua eneo la kilimani nyumbani kwa Mchungaji alikofikia

Mwizi huyo
Uko SAHIHI aliiba sana,meneja aliitwa Mkua .Ila Kuna story kuwa hakujiua walileta maiti ya mtu mwingine hata haikushuhudiwa
Meneja alitokomea Kenya

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kuna Mkwizu mwingine kaolewa bahari beach sijui ni ndugu yao?
Nicodemus Manase Banduka Mkwizu. Kaka yao mkubwa alikuwa balozi Ambassador Mkwizu, maarufu enzi za Mwalimu. Kaka yake mwingine Martin Mkwizu alikuwa headmaster, na waliwahi kugombea cheo kimoja, kinyume kabisa na maelekezo ya wazee wa ukoo, lakini mdogo (Banduka) ndiye aliyeshinda. 'Selfish' is an insufficient word in describing him, hata nyumbani kwao hawampendi.
 
Mmoja kati ya waliokuwa ma-RC wababe sana enzi zake.

Akiwa Ruvuma aliwahi kumfanyia njama mwandishi habari wa kujitegemea, Adam Mwaibabile Mwana (rip) na kumfunga jela. Hii ilikuwa ni baada ya kuyalipua sana mabomu ya RC huyu ndipo akamwekea nyara za serikali na kutuma askari kumkamata na baadaye mahakama kumfunga 4 yrs.

Hata mie sijui alipo!!
Huyu kila alikopitia kuna mtumishi alijiua kwa ajili yake, alikuwa haelewani na JK alipoona amepitishwa akajua hana chake tena akustaafu aliachwa
 
Back
Top Bottom