Natamani niwaone wafuatao nikiwaona nitakuwa mwenye furaha sana.
1. Kongosho
2. Charminglady
3. Cacico
4. Madame b
5. Asprin
6. ErickB52
7. Preta
8. Boflo
9. Badili Tabia
10. Wakati ndio sasa....
Ahsanteni...
mi sijapata kukutana na hata mmoja japo ningependa kuonana nanyi
He si ww juzi umekutana na bosi mrembo Elizabeth Dominic??!
mwe, yan me kupewa bed rest ndo tumesahauliana eti hatujuani. lol me nakujua weye my huz tu!
me simjui hata 1, wewe je?
we sikuhesabu...nasemea hawa wengine, ww nikujue mara ngapi?
mkiva una roho yangu wewe.
Ila nashukuru kwa kuhitaji kuonana na mimi.
Ok Kama uko Dar,
njoo Maisha Club leo usiku huenda tukaonana,
coz me nitakuwa pale.
Ila kama uko Mkoani,
so sorry hutaweza kuniona.
si ndio hapo?
He si ww juzi umekutana na bosi mrembo Elizabeth Dominic??!
Basi unitafute mkiva.
Nawaangalia na charminglady najikuta nacheeka tu...
PoaMENTION 4636470 MADAME B Nikifika nitaku pm
oyaa c unaona nani ananipigia simu?