YUPI unayemjua humu JF?

mimi sijajua hata moja ila naamini ipo siku nitakutana na hata 1 natamani sana kukutana na MENTION Madame B
 
mimi sijajua hata moja ila naamini ipo siku nitakutana na hata 1 natamani sana kukutana na MENTION Madame B

mkiva una roho yangu wewe.

Ila nashukuru kwa kuhitaji kuonana na mimi.
Ok Kama uko Dar,
njoo Maisha Club leo usiku huenda tukaonana,
coz me nitakuwa pale.
Ila kama uko Mkoani,
so sorry hutaweza kuniona.
 
Last edited by a moderator:
mkiva una roho yangu wewe.

Ila nashukuru kwa kuhitaji kuonana na mimi.
Ok Kama uko Dar,
njoo Maisha Club leo usiku huenda tukaonana,
coz me nitakuwa pale.
Ila kama uko Mkoani,
so sorry hutaweza kuniona.
leo maisha club ukiona zee lina kitambi limekaa kaunta jua ni bishanga,naomba uni join
 
Last edited by a moderator:
Anaetaka kunijua aje Buguruni kwa mnyamani,makirikiri bar kaunta ya juu
 
mi sijapata kukutana na hata mmoja japo ningependa kuonana nanyi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom