mie nawajua wote
Heee wewe hatari
Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
mie nawajua wote
Atakayesema ananijua humu atanitambua........LOL
Siku watu wakimfahamu ma2mbo nchi itatikisika...amini nachoongea.
We Ni Kikwet kwani?
Natamani niwaone wafuatao nikiwaona nitakuwa mwenye furaha sana.
1. Kongosho
2. Charminglady
3. Cacico
4. Madame b
5. Asprin
6. ErickB52
7. Preta
8. Boflo
9. Badili Tabia
10. Wakati ndio sasa....
Ahsanteni...