Joeli
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 4,941
- 3,402
Nahisi wote humu mna nijua si mna fuatilia series za movie zangu wajameni......
we ndo yule staa mwenye mdushelele mkubwaaaa
Nahisi wote humu mna nijua si mna fuatilia series za movie zangu wajameni......
Haaaa ulishamsahau Elizabeth Dominic??? Au Multiple ID @ work?
C6 yamekuwa hayo tena?nimeamua nisimjue
Nahisi wote humu mna nijua si mna fuatilia series za movie zangu wajameni......
mkiva... Mkiva unataka kuniharibia weekend yangu wewe...
heh tulia na mmoja!:wacko:
Tulizana!
Nimefundishwa kuwa ili chungu kikae vizuri jikoni,
ni lazima mafiga yawe matatu!
Takwenda na maji:baby:
Na nikienda naenda na wengi,mmoja wapo ni wewe.
Toba! Mimi najua kuogelea...
hivi ilikuwaje tukaharibu penzi letu?
Tena mshauri aje vizuri asije akakosa nauli ya kurudi huko atokako.
Atakayesema ananijua humu atanitambua........LOL