Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,583
44,827
Naombeni mniambie mimi sijawahi kukutana na mamba wala chatu ila nahitaji kujua je ukikutana na Hao Wanyama.

Assume una upanga mkali yupi ukipambana naye Shambani huko ng'anya yake sio ndogo.

Yaani yupi ukijiingiza kwenye mfumo wake wa mtego pambano lake atakuzidi kirahisi na yupi mwepesi kumshinda.
 
Chatu utamuweza. Hana mbio ya kukushambulia, kukupata ni mpaka akuvizie

Unamkata hapo kichwani

Simba ndo atakumaliza kirahisi, ana nguvu, mbio kuliko wewe,

Kucha 1.5 in kama nyembe, akikurukia na kilo zake 200+ utadondoka tu

Na pia unakuwa umejengewa 'fear trigger' ya kumuogopa simba, anavyosimuliwa, ukimuona kwenye video,

kwahiyo mkikutana macho kwa macho utakuwa na hofu kubwa, hutoweza kufikiri haraka haraka
 
Kila mnyama ana weekness yake chatu mbio hana, mamba nchi kavu mgambo tu hana jipya, simba ukimwangalia directly machoni ana aibu kama unamtongoza si ajabu akaanza kutafuna vidole na kuvunja vijiti ila ombea usikutane na nyegele ni mpaka akukague we ni jinsia gani
 
Ujasiri wa kumwangalia simba Kwa kumkazia unatokea wap unless unamadawa hivi hivi utoboi
 
Naombeni mniambie me sijawahi kukutana na mamba wala chatu ila nahitaji kujua je ukikutana na Hao Wanyama assume una upanga mkali yupi ukipambana naye Shambani huko ng'anya yake sio ndogo yaani yupi ukijiingiza kwenye mfumo wake wa mtego pambano lake atakuzidi kirahisi na yupi mwepesi kumshinda.
Simba unaweza kujitetea hata kumpiga panga moja, mamba pia ukimuwah utsumbuanae sana hata kama atakuzidi ila jasho utamtoa.. huyo chatu akikutiming umeisha dude linanguvu sana lile hao wengine wote hapo simba na mamba wanamuogopa sana chatu yupo slow ila ni hatari na ana akili kama za mtu kabisa..
 
amesema 'assume una panga'

chatu hana sumu, hana mbio

HAKUNA sababu ya kumuogopa
Chatu mkumbwa hata kama una Panga yeye huwa anakuambush na sio kwamba kwasababu hana Sumu Misuli ya Chatu mkubwa ina nguvu akikunyonga na kukuviringisha ni lazima ujinyee na kufa.

rock_python2.jpg

Meno yake yote yanaangalia ndani akikuambush huchomoki.

Hapa ninaongelea CHATU MKUBWA 👈

Kwenye hiyo Picha kamezwa Mlinzi na Bunduki yake.
 
Chatu mkumbwa hata kama una Panga yeye huwa anakuambush na sio kwamba kwasababu hana Sumu Misuli ya Chatu mkubwa ina nguvu akikunyonga na kukuviringisha ni lazima ujinyee na kufa.

View attachment 2926511
Meno yake yote yanaangalia ndani akikuambush hutoboi.

Hapa ninaongele CHATU MKUBWA.

Kwenye hiyo Picha kamezwa Mlinzi na Bunduki yake.
Unatumia panga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom