YUPI unayemjua humu JF?

Mimi namfahamu mmoja tu niliyekutana naye internet cafe, japo sijui ID yake.
 
Natamani niwaone wafuatao nikiwaona nitakuwa mwenye furaha sana.

1. Kongosho

2. Charminglady

3. Cacico

4. Madame b

5. Asprin

6. ErickB52

7. Preta

8. Boflo

9. Badili Tabia

10. Wakati ndio sasa....

Ahsanteni...
 
Natamani niwaone wafuatao nikiwaona nitakuwa mwenye furaha sana.

1. Kongosho

2. Charminglady

3. Cacico

4. Madame b

5. Asprin

6. ErickB52

7. Preta

8. Boflo

9. Badili Tabia

10. Wakati ndio sasa....

Ahsanteni...

Me ni Mdada Mmoja wa Mjini.
Omba Mungu tedo utaniona tu.
 
Last edited by a moderator:
we sikuhesabu...nasemea hawa wengine, ww nikujue mara ngapi?

kumbe, hta me nilikuwa na wazo kama lako. afu mbona hujanletea blanket yan huku hosp kuna baridi kweli. nilizoea kukukumbatia my huz!
 
mkiva una roho yangu wewe.

Ila nashukuru kwa kuhitaji kuonana na mimi.
Ok Kama uko Dar,
njoo Maisha Club leo usiku huenda tukaonana,
coz me nitakuwa pale.
Ila kama uko Mkoani,
so sorry hutaweza kuniona.

Kwanini umesema nina roho yako?niko mkoani kweli but dar nakuja sana siku nikija nitakutafuta
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 20120914220919.png
    20120914220919.png
    48.8 KB · Views: 26

Similar Discussions

Back
Top Bottom