Na hapa ndipo dada zangu mnapokosea dada zangu,sisemi kwamba msisome ila you guys need to balance the two,wadada wengi sana wanahangaika kupata wenza kisa shule,ikitokea break up basi kipozeo ngoja nikasome masters niachane na mapenzi ukimaliza masters mnajikuta kitu mlichokikimbia ndio kitu mnachokihitaji vibaya mno but alas una miaka 32 na kuendela kupata mtu hapo ni ngumu kidogo.duu..education ni kitu kingine ndugu zangu. yawezekana tuliishia kung'ang'ania kitabu sasa mapenzi yanatuumbua
Sanaaaaaaaaaaaaa
yakikukuta utaupata huo muda..hata uwe na billions of money kama mapenzi hamna huna furaha
nakuambia uwe mbayuwayu, za kuambiwa changanya na zako.
Tatizo naloliona kwa wa Mwanza ni humpendi, otherwise ni perfect.
Huwezi kujifunza kumpenda?
Unaweza jikuta unakataa weee, unaishia kuwa nyumba ndogo muda ukienda.
Na sisi sisi, will condem you.
Wanawake bana!...
Kama paka...
siamini mtu mwenye digrii 2 unashindwa kuona hapa.
Anyway, mapenzi ya soulmate ni kwenye tamthilia tu.
Kuna aina ya wanawake wanapenda players.
Tena hawa wanaojiadai wamesoma yaani utawaonea huruma wanavyonasa kwenye matundu mabovu, ninawajua wanne, huyu watano ujanja mwingi mbele kiza! Ikifika miakA 35 wanaanza kuwa vimada wazoefu, kukesha kulia na mito vitandani na kulalamikia wanaume kumbe makosa walifanya wao, isidingo nyingi, eti wanatafuta matching from haeaven!!perfect match my foot!! Usikute dogo anavumilia haarufu ya kikwapa yeye analalamikia ya mdomo!sio kama paka ila fantasy ni nyingi kuliko uhalisia.
...have faith bana, have faith...
yapo sana tu iwapo utaamini, ...ndio yale yale ya imani yangu ndio uokozi wangu, nini bana?...
I believe in my Love to my soulmate, and her precious Love to me....
.....kwanza hajui kukiss nimejaribu kumfundisha ila naona hataaaa haelekei. Sijui midomo (lips) yake migumu na midogo..hata sielewi.
Sipendi harufu ya kinywa chake, mwili wake hata akitoka kupiga mswaki au kuoga.
Pumzi yake ndo sitaki kabisaaaaaa akinihemea nashindwa kuhema. Kuna muda hata anishike vipi nahisi kama naumia na hata kama nilikua na nyege zinapotea.
He is a perfect kisser!!!
Sio siri kama kuna kitu wanakiita soul mate huyu ndie
pale linapokuja suala la mapenzi romance, sex, cuddling…etc he is very good.
Pia umedai huyu ana girlfriend.Tatizo la huyu kaka wa kazini sasa, mawasiliano kwake ni F.
Anapenda sana Pombe na marafiki kwa hiyo anaweza kukaa wiki mbili bila kukutana nami
Hajawahi kunipa chochote kama zawadi au hela hata vocha ya 500
It is important to know that any relationship can be a soul mate relationship, so please don't take it for granted. However, many times, when we meet someone, we feel so close, so bonded to them that we believe they are our soul mates. Then over time, problems arise, but since we were left to believe that it would be a "perfect union", we are often puzzled and confused when conflict does rear its ugly head.
Definitely huyo wa pili hakufai. Yes, nasema kama mwanaume hakufai. Utakujajuta baade. Majuto mjukuu.Nashindwa nichague Yupi???
Exactly. There is no perfect man on earth. Neither there is a perfect woman.Naambiwa there is no perfect man ila kipi bora katika ndoa???
Hili nalo tatizo tena linaweza kuwa kubwa sana.nahitaji kuwa na familia baada ya mwaka mmoja na nusu tangu sasa.