Yupi anafaa kua mume...Ushauri plz

Wanawake wasomi mtaishia kutafuta wachumba kwenye mitandao,usizani wewe mzuri sana..uwenda ile picha ya photoshop uliyoweka facebook ilimvutia lakini alipokutana na wewe akakushangaa usivyo mzuri,lakini aliamua kupiga moyo konde na kuendelea na wewe..
Na zile fedha anakutumia ili upendeze..sasa wewe unashindwa kumboresha,yaani wewe ni mwanamke wa ajabu,wale wanawake wakupendezeshewa..watakumega sana hadi uzeeke mwishowe utabadilisha tangazo na kuliandika hivi "natafuta mume sichagui dini,elimu wala umri..nina mtoto mmoja... Niko serious wajameni!"
 
Hadithi za Shigongo zinatungwa hivi kwa hiyo hiki ni kipaji
onana naye kukiendeleza
 
Zingatia ushauri wa AshaDii hapo juu.Kwa kuongezea,mume mzuri haangaliwi kwapa,mdomo au sura nzuri,je huyo anayejua kukiss vizuri au ni baby face,kesho na keshokutwa mdomo ukinyofoka kwa ajali au uso ukiungua na maji ya moto utamuacha?Suluhisho ni moja,kama uko tayari kujenga familia,piga magoti umwombe Mungu,zile amri kumi za Mungu unazijua,zifuate inavyotakiwa.There is a common saying that''Who comes to equity should have clean hands'',hivyo hata wewe,uombe ukiwa msafi,acha makandokando yako mrudie Mungu haswa atakupatia chaguo lako.
 
lol...thanx alot kwa ushauri. Tatizo la huyu wa kwanza, nimeshajaribu kuachana nae zaidi ya mara tatu lakini hakubali kushindwa. he can even cry. yaani ninavyomwambia hakuna future anasema sawa tu kwani hatoweza kumpenda mwanamke mwingine na kama asiponioa hatooa tena. nimetumia njia nyingi hadi rafiki zake wanamshauri aniache lakini hataki kabisa. nimejaribu hata kuongea na rafiki zake wamsaidie matokeo yake alikunywa sumu na kuponea hospitali. he becomes so depressed nikimwambia kuhusu kuachana na atakuja kwa garama yoyote ilimradi tulisolve

mmh kazi kwelikweli angalia usizue murder case tena
 
bishanga , bishanga, bishanga........

Nyege mbaya.................olewa na wa mwanza kisha wa dar awe hawara yako,huko ndo kula keki na kubaki nayo mkononi.
Kama unataka kujua tactic za kum cheat mme asijue niPM.
 
wow!!!! maelezi marefu ila gud.
sasa bana to be honest with u naona wote wawili hawakufai.
huyo wa mwanza tho caring u just cnt have intimacy with him which is wat marriage is all abt
huyu wa kazini seems to know how to push the right buttons with u and certainly kuna intimacy na great romance but he does not care abt u or atleast doeant see u as hiz future wife.....to him u just a frend wwith benefits.....and that is all u will be.

so wat i advise u to do ni kumwambia ukweli yulejamaa wa mwanza kuwa hapa hamna future yoyote....so kaka tafuta mwengine. dont give people qhere there is none.
huyu wa kazini mie naona just have fun since u enjoying his artwork on ur warmspot jist continie wnjoying but know full well its just fun.
kuhusu kupata familia then i suggest u luk for another man ila opportunity cost ni kumubwaga huyu jamaa that does u well in bed.....kazi kwako!!!!!!
Problem itakayojitokeza kwa huyu m'dada, baada ya kupata third relationship, ni ku-break second relationship. According to her, ni kwamba she seem to love her second boyfriend too much in stead of how he treat her out of 'soccer city', and mind you, true love never die.

My advice to this mama ni kwamba, kama anavyosemaga Mbwiga wa Mbwiguka, "funza huingia kama kiroboto, but with time kiroboto hugeka kuwa funza", bibie anachotakiwa kufanya ni ku-concetrate na hiyo relationship yake ya pili maana ndiyo itakayompa furaha katika maisha yake ya baadae. Jambo kubwa analotakiwa kujua, 'bibie' ni kwamba, before, marriage normally kila mtu huwa na tabia zake kulingana na malezi na makuzi yake, kwa hiyo asitegemee kupata mtu atakaye-fit mahitaji yake 100 percent. Atakapoingia kwenye marriage, anachotakiwa kufanya ni kuwa creative.

Na the best way anayotakiwa kuitumia katika ku-generate hiyo creativity yake ni ku-study weaknesses zake mwenyewe. Ajiulize ni kwa nini jamaa huwa hanyeshi ku-mtia akilini sana? Kwa mfano, inawezekana 'bibie' sio mtaalamu sana katika ku-attract mind ya jamaa anapokuwa nae 'soccer city', na ndiyo maana baada ya game mshkaji huwa ana-shift mind yake somewhere else.

Pamoja na mfano huo mmoja, kuna mambo mengi sana ambayo wanawake wanatakiwa kujifunza, ambayo sisi wanaume huwa tunayapenda toka kwao. Wakifanikiwa kuyajua hayo, hizi kesi ndogo ndogo kuhusu sisi zitapungua sana. Wa' dada mpo? If you are not good at holding your men, msitutupie lawama sisi, sometimes matatizo yako kwenu wenyewe. Study your weaknesses...!
 
Walah,natamani niseme jambo lakini ngoja nifunge bakuli langu mie for my own gud!
 
teh teh te teh.......hakiakweli mapenz..........!
1. Huyo kaka ana Practise "OPEN RELATION" wakati wewe unataka ku practise a SIRIAZ RELATION.
Kwanza ushasema kua unajua/anajua kua una/anaboyfrend. hyo ndo silaha yake kubwa kwako.
kua hata siku ukimzingua sna anakwambiatu kua bwana una na ulijua kabisa kua nina girlfriend na nisingeweza kumwacha sbabu yako.
Kama hujaelewa ni kua we ni wake au ye ni wako mnapokua pamoja. mkiachana kila mtu ni huru na life lake.

2. Pili kwakua ana girlfrien ni kua we ni suppliment tu ya dem wake.

3. ni kua sabab kuu ya kuanzisha mahusianao ya kudumu (ndoa) inatakiwa kuwa upendo (love) na sio
kwa kua mtu anajua kukiss/ anapumua vizuri/anakupa zawadi n.k
kama hujisikii kabisa kutompwna huyo wa mwanza basi hata yeye usiingia nae katika mahusiano siriaz maana utachoka kbla hata ya mwaka.

4. hakuna effort yeyote ya kibinadam ambayo mtu unaweza kuifanya ili kumpata mtu unaemtaka. hii ni kama majaliwa/bahati/baraka. ndo sababu baba/mama/wakubwa zetu siku zooote hutsisistiza kua liapokuja suala la kuoa/kuolewa tumwombe sana Mungu.
 
niPM dada yangu..u might be my soul mate too.u have something very uniq n u must be so romantic;simple good luk n outgoing..what else! u deserve me
 
mambo mengine watu wanafundishana usichoke ni vizuri kumpenda akupendae but kama unahisi hakuridhishi basi hapo hakuna anaekufaa, wapige chini take ur time for the next step


AU HIVI - Amua moja hakuna kuolewa tena ni kupiga 'SOLO' mpaka 'MKONGOJO' maana waoaji wenyewe hawaeleweki mara wafupi, wananuka, hawajui kukiss etc.
btw, midori ipo sinza inasubiri wateja, lol.
 
mwanamke malaya utamjua tu.......

Mmmh hata wewe? Hakuna umalaya.....

Hizi mambo zinachanganya sana....yani yani zinachanganya sana sana

Nimesoma ushauri uliopewa na watu humu dada mzuri sana.....Omba Mungu chukua ule unaoona unafaa then songa mbele.

Lakini kwa kuongezea na mimi maoni yangu, huyu wa pili huyu, yuko na wewe ki-artificial zaidi. Sehemu ya ndio atasema hapana, sehemu ya hapana atasema ndio :(....Watu wa hivi wanaumiza balaa. Utavunjika moyo na kwakulia kila siku na kila saa. Na mind you ni rahisi kujinasua kwa yule wa kwanza kuliko huyu wa pili.

Huyu wa pili si anacheza na hisia zakooooooooooooooooo? ha ha ha unataka kuniona eeh siji? Nitakuja siku na saa nayoona inafaa na nina muda wakutosha ku do what I used to do.

Khaaa mahusiano haya.......Tuliza moyo...........LOVE haihesabu mabaya kivilee....ukiona unasema unampenda mtu halafu una Idadi ya mabaya ulioorodhosha na yanakuumiza na huna njia ya kuyatatua hayo mabaya/madhaifu....Jua tu YOU DO NOT LOVE HIM. Wenzako wanatumia huo huo udhaifu/ubaya kuweka footprint kwenye moyo wa mwanaume unayempenda.

Hajui kutandika kitanda unamtandikia, hajui kuchagua mafuta na pafumu nzuri unamchagulia, hajui kufagia na kudeki unamfundisha alikuwa akikanyaga mchanga ndani anaona poa tu, unamfanya aone mchanga ni kero...hajui kununua mashuka unamnunulia...he he he he wewe akikupa hela sio unakula yote...ndio hiyo unatumia kumnunulia vitu anavyo vi-miss.

Kuna mtu hapo juu kasema akikutana na mtu anayejua kuweka Footprint kwenye heart utajuuuuuuuuuuuuuuta kumharasi kaka wa watu. Huyo SHAROBARO WAKO huyo anacheza na hisia zako TUUUUUUUuu
 
Vigezo Vifuatavyo Vitakusaidia Kutofautisha Mwanaume Anayekupenda Na Mwenye Mpango Wa Kukuoa Na Yule Anaekutumia Tu Ila Hana Mpango Na Wewe.

1. Mawasiliano:
...
Mwanaume Anaekupenda Hawezi Kumaliza Siku Bila Kuwasiliana Na Wewes (Kama Hakuna External Factors Zinazosababisha Mawasiliano Yawe Mabovu). Kama Wewe Ni Mtu Wa Kupiga Simu Kila Siku, Kutuma Emails Lakini Mwenzio Haoneshi Ushirikiano Ujue Hapo Kuna Utata.

2 Ubahili/Ubinafsi

Hapa Ni Kwa Wenye Wapenzi Wenye Uwezo Mzuri Kifedha. Angalia Kama Anasikiliza Shida Zako Na Kujaribu Kuzitatua. Inawezekana Hakujali Na Hakuhudumii Kipesa Kwa Sababu Ana Mpenzi Mwingine Ambae Ameelekeza Huko Matumizi Yake. Pengine Hakuamini, Anahisi Hata Akikuhudumia Utamtosa; Ila Kama Anashindwa Kukuamini Anawezaje Kukupenda? Mtu Wa Hivyo Hata Upendo Wake Ni Wa Mashaka. Kama Hana Uwezo Kifedha Je Anakuwa Na Wewe Bega Kwa Bega Unapokuwa Na Shida? Anayekupenda Atakujali Wakati Wa Shida Na Raha

Utambulisho.

Jiangalie Kama Unatambulika Kwa Ndugu, Rafiki Na Jamaa Zake Wa Karibu. Kama Muda Wa Kutambulishana Rasmi Kwa Wazazi Haujafika, Vipi Kwa Marafiki, Au Makaka Na Madada!!. Unawafamu Marafiki Zake Wawili Wakati Anao 30? Utambulisho Huwa Ni Swala Gumu Kama Mwanaume Hakupendi Na Hajivunii Kuwa Na Wewe. Mwanaume Ambae Tayari Ana Mpenzi Mwingine Na Anatambulika Kwa Watu Wake Wa Karibu Ni Mzito Kukutambulisha Na Wewe. Inabidi Ustuke Hapo
 
mimi nadhani huyu wa mwz humpendi kwa sababu hajui ku kiss na harufu ya mdomo. na yote hii imejitokeza kwa sababu ya huyo play boy wa kazini kukuteka akili. Kwa mtazamo wangu wa Mwz ndio mume, caring, hayo ya ku kiss ni jukumu lako kumfundisha tena bila kuongea, wewe mwenyewe mdomo wako unaupeleka vile utakavyo na yeye atafuata. harufu ya mdomo inatibika, vitunguu saumu kwa wingi. pia always mkiwa pamoja make sure una chewing gum, pepper mint au fruit flavour, unampa anatafuna. kupata mwanaume perfect sio rahisi. kumbuka "aso na hili ana lile". m-train huyo wa mwza upendavyo na achana na wa ofisini maana huyo hakufai. miaka 27 ukianza kuyumba utajikuta umefika 30 na huna stable relationship na kupata wa kukuoa itakua ngumu, sana sana utapata wa kukuzalisha. kila la heri mrembo.
 
mimi naona wa mwanza ndiye "perfect man for u because he care u" mi naona hayo matatizo yake ni vitu vidogo ambavyo vinaweza kurebishwa.na huyo wa pili anaelekea hana time na wewe.so akili kichwani kwako m2 wangu
 
Huyo wa kazini alilkua anakupenda kama rafiki wa kawaida kazini tuu,ulikua unajua kua ana girl friend wake nawe una wako!
Ni wazi kwako hakua na mapenzi ya mapenzi badala yake ulikua kama kiburudisho pele anapojiskia kitu ambacho ulishindwa kugundua mapema,yeye hakua na hofu kwakua ulikua unajua ana wake na yeye anajua anamuibia wa mwanza.
Ushauri wangu ni kua huyu wa kazini hakufai,wa mwanza ni dhairi yaonyesha unamuamini lakini nafsi yako haijaridhika nae kwa hayo matatizo uloyaeleza,kaa tulia na umueleze tatizo lake kama unampenda kweli mjue suluhiso japo umwchelewa kumueleza anawezahisi umepata mwingine!
Vinginevyo kaa tulia na ujitulize utapata mwingine umpendae.
 
Back
Top Bottom