Yupi anafaa kua mume...Ushauri plz

Penzi lako naliona nyegezi, Mwanzaaaaaa! Japokuwa naona vijielement vya bushoke bushoke ambavyo hurekebishika.
 
duu..education ni kitu kingine ndugu zangu. yawezekana tuliishia kung'ang'ania kitabu sasa mapenzi yanatuumbua
Na hapa ndipo dada zangu mnapokosea dada zangu,sisemi kwamba msisome ila you guys need to balance the two,wadada wengi sana wanahangaika kupata wenza kisa shule,ikitokea break up basi kipozeo ngoja nikasome masters niachane na mapenzi ukimaliza masters mnajikuta kitu mlichokikimbia ndio kitu mnachokihitaji vibaya mno but alas una miaka 32 na kuendela kupata mtu hapo ni ngumu kidogo.
 
nakuambia uwe mbayuwayu, za kuambiwa changanya na zako.

Tatizo naloliona kwa wa Mwanza ni humpendi, otherwise ni perfect.

Huwezi kujifunza kumpenda?

Unaweza jikuta unakataa weee, unaishia kuwa nyumba ndogo muda ukienda.
Na sisi sisi, will condem you.

Kuna siku atamtafuta huyo wa mwanza apate japo hilo kiss lisilovutia asimuone. Act before its too late.
 
Binti unaweza ukakuta unatafuta mtu wa kuwa nae maisha yako yote na usimpate sio tu kwamba unaambiwa 'hakuna perfect man' hiyo ni solid fact. Last time i checked even the 'Big Guy Upstairs' declared that all women and men are not even close to perfect (possessing all the desired qualities and attributes).

Kwa kuzingatia hilo ni vizuri ukaanza na kufuta hiyo taswira uliyoitengeneza kichwani ya kutafuta mwanaume mwenye kila sifa unazodhani wewe kwamba zinakufaa(kwa sasa b'se priorities hubadilika over time).

Ngoja nikupe mfano:

Kuna dada nilikuwa na uhusiano nae miaka kadhaa iliyopita akawa na maoni kama yako ya kwamba nilikuwa namjali kwa kutumia wakati na resources pamoja nae na kwa ajili yake, making sure the intimacy between us is everblazing etc. Then one day she suddenly told me that am kissable (kwa maoni yake) but not a good kisser (hii ilikuwa priority mwanzoni), nikamwambia anifundishe...

Baadae nikaelewa somo vizuuuri. Sasa tatizo likawa wivu akaniambia haiwezekani nimekuwa fundi ghafla hata kumzidi yeye mwalimu lazima kuna namna (priority ikageuka kuwa security kwenye r/ship) Kumbe mimi nilitafuta hata additional materials ili tu asipate la kulalamika tena. Akaanza kunipotezea kwa visa vya makusudi na mimi nikampotezea baada ya kuangalia hali ilivyo na mkataba ukaisha kimyakimya.

*Point ni kwamba sometimes kwa nyie wanawake even 'perfect' is not perfect enough kwa hiyo tafadhali punguza kutumia hiyo 'super IQ' yako katika kuchagua 'mume' kwani bado haitafua dafu. Pia usiwe serious saaaana na kufanya analysis ya wanaume na kujaribu kupita kiaaaasi (to the extent of being desperate) kufikia goals zako za kimahusiano au kifamilia ukasahau kuusikiliza moyo wako unasema nini.

Kwa maoni yangu hakuna anayeweza kukusaidia moja kwa moja kwenye kufanya maamuzi (labda kukupa hints kidogo) ya nani anayefaa kati ya hao wawili au hata wengine wowote, kama ambavyo hakuna atakayejitolea kubeba consequences za maamuzi yako ni wewe pekee.

*We are just ordinary people, living an ordinary 'satisfactory' life is the best the we can achieve.*
 
mambo mengine watu wanafundishana usichoke ni vizuri kumpenda akupendae but kama unahisi hakuridhishi basi hapo hakuna anaekufaa, wapige chini take ur time for the next step
 
siamini mtu mwenye digrii 2 unashindwa kuona hapa.

Anyway, mapenzi ya soulmate ni kwenye tamthilia tu.

Kuna aina ya wanawake wanapenda players.

...have faith bana, have faith...

yapo sana tu iwapo utaamini, ...ndio yale yale ya imani yangu ndio uokozi wangu, nini bana?...
I believe in my Love to my soulmate, and her precious Love to me....
 
sio kama paka ila fantasy ni nyingi kuliko uhalisia.
Tena hawa wanaojiadai wamesoma yaani utawaonea huruma wanavyonasa kwenye matundu mabovu, ninawajua wanne, huyu watano ujanja mwingi mbele kiza! Ikifika miakA 35 wanaanza kuwa vimada wazoefu, kukesha kulia na mito vitandani na kulalamikia wanaume kumbe makosa walifanya wao, isidingo nyingi, eti wanatafuta matching from haeaven!!perfect match my foot!! Usikute dogo anavumilia haarufu ya kikwapa yeye analalamikia ya mdomo!
 
Najickia kuumia sana hata sina mchango hapa nimefuatilia wote waliojibu dah bado ni ngumu kukushauri.
Ila dadam jaribu kutafta mtu tofauti na hao wawili.
Nataman sana ningekusaidia kwa dhati tatizo langu nina umri kama wako. Pengne nakuzd miez tu.
(Ila mbali na umri ulishamaliza kilio chako) yes najikubali kwanza.
 
ok, labda niseme unaweza tengeneza your own soul mate.

Lakini, inabidi uangalie beyond imperfections zake.

Siamini utakutana na mtu readymade perfect for you.

Unaweza kum-customise na akawa utakavyo, bila kumpa nafasi huwezi.
Especially wanamme huwa wanakuwa kama chakula kilichopikwa ila hakikupangwa au chumvi haitoshi.

Wanahitaji kuwawekea chumvi ya kutosha, ka pilipili, mayonaizi kidogo na if possible tomato sosi, hivi hivi hawaliki wawe na pesa, elimu na kila kitu.

Ndio wanamme walivyo, tena hasa hawa husband material wanahitaji a lot polishing
sababu wanaishi katika ukweli na uhalisia wako.

Players wanaji-cutomise wenyewe kutokana na windo walopata kwa kuwa wanajua udhaifu wa wanawake wanapenda ready made.

Okay, anaweza awaache wote atafute mpya, na sijui anaenda kumsaka wapi huyo aliye perfect kwake.

Na kwa umri huo, 30 inagonga sasa hivi, waoaji wachache wenye sifa za mwanamme ni wachache mno.


...have faith bana, have faith...

yapo sana tu iwapo utaamini, ...ndio yale yale ya imani yangu ndio uokozi wangu, nini bana?...
I believe in my Love to my soulmate, and her precious Love to me....
 
duh nimekaa zaidi ya nusu saa sijapata jibu la kukupa, ila in short 1st man he real love u ila kama humpendi achana nae, ila 2nd man doesn't love u, ila kumbuka wanaume wachache utaishia kuzalishwa tu, omba ushauri zaidi ila pia dunia hi dada mnakufa sana humo maofisini, think twice, ni hayo
 
Sababu za kutovutiwa na wa kwanza:
.....kwanza hajui kukiss nimejaribu kumfundisha ila naona hataaaa haelekei. Sijui midomo (lips) yake migumu na midogo..hata sielewi.

Sipendi harufu ya kinywa chake, mwili wake hata akitoka kupiga mswaki au kuoga.

Pumzi yake ndo sitaki kabisaaaaaa akinihemea nashindwa kuhema. Kuna muda hata anishike vipi nahisi kama naumia na hata kama nilikua na nyege zinapotea.

Nikuulize maswali na nijibu yote.
Mwenyewe anayajua haya?
Kama hayajui yote, umeshawahi kumwambia kwa uwazi kabisa (face face) kuwa hupendezwi na haya?
Kama ulishawahi kumwambia, alisemaje?
Whatever the case, kama yuko tayari kujibadilisha, uko tayari kumsadia?
Kama alikuwa hana haya mambo ungempenda kwa dhati?
Nimeuliza hayo maswali kwa sababu hayo yote uliyoyataja hapo juu yanatatulika.
Kwa mfano, suala la kissing, kimsingi anayetakiwa ku-lead kwenye kissing ni mwanamke, na sio mwanaume.
Tatizo labda hajui jinsi ya kukufanya wewe u-lead in the kissing bila hata kujishtukia. There is a way he can learn this.
Hata tatizo la pumzi mbaya linatatulika.
Kuhusu kulingana umri wala sioni tatizo hapo.
La muhimu ni kama hayo uliyoeleza hapo yakitatuliwa utavutiwa nae?

Kuhusu huyo wa pili unadai:
He is a perfect kisser!!!
Sio siri kama kuna kitu wanakiita soul mate huyu ndie
pale linapokuja suala la mapenzi romance, sex, cuddling…etc he is very good.
Tatizo la huyu kaka wa kazini sasa, mawasiliano kwake ni F.
Anapenda sana Pombe na marafiki kwa hiyo anaweza kukaa wiki mbili bila kukutana nami
Hajawahi kunipa chochote kama zawadi au hela hata vocha ya 500
Pia umedai huyu ana girlfriend.

Tatizo kubwa la huyu ni kwamba tayari ana girlfriend lakini he is cheating on her with you.
Kwa haraka haraka, kama angeamua kuachana na girlfriend wake na kuwa na wewe, kuna uwezekano mkubwa he will cheat on you too.
Remember a cheater is always a cheater.
Kuhusu communication kuwa F, mawasiliano ni muhimu sana kwenye mahusiano.
Kinachonishangaza hasemi kuwa sababu za kuwa na mawasiliano hafifu na wewe ni kwa sababu ya girlfriend wake.
Anakupa sababu ambazo possibly hata mkiamua kuwa pamoja atakuwa anakupa wewe pia.
Umesema he is a perfect kissers, lakini ninavyojua it is actually the woman who lead the man during the kissing.
Mambo ya mapenzi sijui romance, sex, cuddling, etc, yanafundishika kwa mwanaume yoyote unless hataki.
Pombe ni mbaya hasa kama anakunywa sana. Ni wanaume wachache sana wanaokubali kuacha pombe.
Hilo la kutokukupa chochote nalo ni indication kubwa kuwa moyo wake upo wapi.

Kuhusu kuwa soul mate, hata sijui kama kuna kitu kama hicho hapo. Soul make wakati unasema communication yale ni F?
Nafikiri wewe unaona kama ni soul mate, lakini sidhani kama yeye anaona hivyo.
Otherwise, angekuwa ameshamwacha huyo girlfriend wake kitambo.
Ulishawahi kumpa ultimatum is either you or his girlfriend? Alisemaje? If not, try that and will make your job easier.
But to me hakuna soul mate hapo. Soul mate ya kazini ibakie huko huko kazini.
Personally, nilishakuwa na marafiki wa kike so closely to the extent watu wakadhani tunabanjuana, but we never even kissed.
We have moved on na hata sijui wengine walipo sasa lakini watu bado wanadhani 100% kuwa tulikuwa tunabanjuana.
Ndio soul mate wa shuleni na makazini hao. Nothing more.

Ni hivi:
It is important to know that any relationship can be a soul mate relationship, so please don't take it for granted. However, many times, when we meet someone, we feel so close, so bonded to them that we believe they are our soul mates. Then over time, problems arise, but since we were left to believe that it would be a "perfect union", we are often puzzled and confused when conflict does rear its ugly head.

Huyu wa pili naona tayari kuna matatizo kama lack of communication na yeye kusema uongo but you still believe he will be a "perfect union". Sidhani.

Nashindwa nichague Yupi???
Definitely huyo wa pili hakufai. Yes, nasema kama mwanaume hakufai. Utakujajuta baade. Majuto mjukuu.
Hata kama akiamua kuachana na girlfriend wake, na kuwa na wewe atakuja kukuumiza huko baadae. Trust me on this.
Kuhusu huyo wa kwanza, siwezijua mpaka unijibu maswali niliyokuuliza hapo juu kwanza.
Lakini na wewe sio msafi pia to the extent ya hata ya kuolewa na huyo wa kwanza.
Umem-cheat huyo wa kwanza. Kwa hiyo huna tofauti na huyo wa pili

Naambiwa there is no perfect man ila kipi bora katika ndoa???
Exactly. There is no perfect man on earth. Neither there is a perfect woman.
Kwa vile no one is perfect, kilicho bora katika ndoa ni compromise.
Ndoa nyingi zina-survive kwa sababu ya compromise. Win a little loose a little.

nahitaji kuwa na familia baada ya mwaka mmoja na nusu tangu sasa.
Hili nalo tatizo tena linaweza kuwa kubwa sana.
Usipokuwa makini utachagua mtu ambaye humtaki simply because you want to have a family as soon as possible.
Suala hapa sio kuwa na familia ndani ya mwaka na nusu, bali kuwa na the right person wa kuanzisha familia.
Na hili ndilo linalokufanya ku-stick na hao wanaume wawili badala ya kuwa open in your searching
Waliosema haraka haraka haina baraka sidhani akama walikosea.
Don't limit your choice to two men simply because you want to have a family within one and half year.
Kumbuka familia inapangwa na maamuzi ya watu wawili, na sio wewe tuu.
 
dadam!watu wamekuremba sana hapa sitakuwa mmojawao!.,ukweli ni kwamba WEWE NDIO HAUFAI KUWA MKE WA YEYOTE KATI YA HAO JAMAA!jamaa wa kwanza anakupenda unamsaliti...wewe ndio huna sifa ya kuolewa naye!jamaa wa pili unayemsifia sana yeye ana mtu na anajua una mtu...huyo anajua kabisa huna sifa za mke wake,jamaa anakutumia tu kuosha rungu lake!period
 
Nyege mbaya.................olewa na wa mwanza kisha wa dar awe hawara yako,huko ndo kula keki na kubaki nayo mkononi.
Kama unataka kujua tactic za kum cheat mme asijue niPM.
 
Back
Top Bottom