Yupi anafaa kua mume...Ushauri plz

EMT!! awali ya yote naomba nikushukuru kwa muda wako.asante kwa kupoteza muda mwingi kwa ajili yangu. i real appreciate.
1.Mwnyewe anayajua sana, tulishayaongelea sana especially when discussing the progress of our relationship. all the time it is face to face. i used a very polite and even romantic way of saying it. yeye anasema kua itakua simpendi thats why naona kama harufu na pumzi zetu haziendani. nasema hivyo kwani the problem sio kama ananuka like jasho or what...ni ile harufu ya mtu ambayo kila mtu ana yake. like ukipewa nguo ya mkeo gizani lazima utaijua hata kama haina perfume. nazungumzia ile natural harufu from god.
2. kama harufu ndo hizo, it means hata aoge, apige mswaki atumie body spray gani, his coligne will remain to be the same.
3. sijisifii ila i think i am a good leader when it comes to kissing. the problem with my guy ni kua its like anakaza sana lips zake plus ni ndogo basi inaharibu kila kitu. nikimwambia kua i enjoy zaidi anapolegeza lips, it will take few seconds and he becomes too concious hali ambayo inaharibu everything. i have tried sana na nimekua nikimpa motivations za kila aina anapofanya vizuri but still it doesnt work
sasa, ukijumlisha na ile harufu nisiyoipende..inanikata stim zote. nimejaribu pia kutumia pipi na chocolate during kissing, still it doesnt work.
TATIZO la umri sio kubwa but muonekano. anaonekana mdogo with a beautiful baby face. tatizo unajua sisi wanawake tunazeeka haraka so itakua shida hapo baadae kidogo atakaponiacha kutafuta dogodogo.
4. kama vingewezekana i will be very glad to have him forever and treasure his as my husband
KUHUSU HUYU WA PILI SASA
sikatai kwamba anaweza kua playboy, atanicheat kama alivyomcheat mwenzangu n.k
and from other comments yawezekana ni kweli hanipendi coz he does not give me the attention i need
ILA huyu mtu ni mzembe kimawasiliano kwa ujumla. sio ajabu kwake kusahau simu kwenye gari au home siku nzima. kwa hiyo sometimes anajitetea kua simu aliiacha and thats is very true kwani nilishawahi kumtumia msg hadi kesho yake nikaikuta simu kwenye gari na missed call zangu na msgs kila kitu naye comfortably yupo amelala.
kingine huyu kaka ni introvert(if you can understand) sio msemaji wa hisia na jinsi anavyojisikia.
ila kwakua we are both different. i guess hanifai

Conclusion
i better keep my self available. hakuna anaenifaa kati ya hao japo duniani hakuna perfect man na hata mimi sio perfect. nikiwa na wa kwanza nitamcheat bureeeeee. ndoa inahitaji commitment. wa pili nae atanifanya nijuteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kumfahamu
i am a single girl from now. thanx all kwa ushauri

aaaah kumbe na ww mwenyewe hovyoooooooooooo Masters yako inakusaidia kupata mshahara tu na-kuhudhuria visemina, sasa kama ulikuwa unajua ubakie single ya nn kuleta uzi humu JF!!kanunue vile vifaa vya kujiridhisha mwenyewe Kinondoni basi ndio iwe mumeo naona unatuzingua tu!!
 
sikuwahi kumuomba mwanaume hela au vitu kama vocha. Kaka huyu hunitumia vocha kila siku
.......Hajawahi kunipa chochote kama zawadi au hela hata vocha ya 500.

mmmh, masuala ya vocha nayo huwa yanaongeza points kwenye uhusiano kumbe..
 
mmmh, masuala ya vocha nayo huwa yanaongeza points kwenye uhusiano kumbe..
Yule utakayepewa na mungu wako. na asiye na doa wala kaba mwilini. take care naona haujazungumzia life kama mipanago ya baadae, mahusionao na nduguze na rafikize.
 
EMT!! awali ya yote naomba nikushukuru kwa muda wako.asante kwa kupoteza muda mwingi kwa ajili yangu. i real appreciate.
1.Mwnyewe anayajua sana, tulishayaongelea sana especially when discussing the progress of our relationship. all the time it is face to face. i used a very polite and even romantic way of saying it. yeye anasema kua itakua simpendi thats why naona kama harufu na pumzi zetu haziendani. nasema hivyo kwani the problem sio kama ananuka like jasho or what...ni ile harufu ya mtu ambayo kila mtu ana yake. like ukipewa nguo ya mkeo gizani lazima utaijua hata kama haina perfume. nazungumzia ile natural harufu from god.
2. kama harufu ndo hizo, it means hata aoge, apige mswaki atumie body spray gani, his coligne will remain to be the same.
3. sijisifii ila i think i am a good leader when it comes to kissing. the problem with my guy ni kua its like anakaza sana lips zake plus ni ndogo basi inaharibu kila kitu. nikimwambia kua i enjoy zaidi anapolegeza lips, it will take few seconds and he becomes too concious hali ambayo inaharibu everything. i have tried sana na nimekua nikimpa motivations za kila aina anapofanya vizuri but still it doesnt work
sasa, ukijumlisha na ile harufu nisiyoipende..inanikata stim zote. nimejaribu pia kutumia pipi na chocolate during kissing, still it doesnt work.
TATIZO la umri sio kubwa but muonekano. anaonekana mdogo with a beautiful baby face. tatizo unajua sisi wanawake tunazeeka haraka so itakua shida hapo baadae kidogo atakaponiacha kutafuta dogodogo.
4. kama vingewezekana i will be very glad to have him forever and treasure his as my husband
KUHUSU HUYU WA PILI SASA
sikatai kwamba anaweza kua playboy, atanicheat kama alivyomcheat mwenzangu n.k
and from other comments yawezekana ni kweli hanipendi coz he does not give me the attention i need
ILA huyu mtu ni mzembe kimawasiliano kwa ujumla. sio ajabu kwake kusahau simu kwenye gari au home siku nzima. kwa hiyo sometimes anajitetea kua simu aliiacha and thats is very true kwani nilishawahi kumtumia msg hadi kesho yake nikaikuta simu kwenye gari na missed call zangu na msgs kila kitu naye comfortably yupo amelala.
kingine huyu kaka ni introvert(if you can understand) sio msemaji wa hisia na jinsi anavyojisikia.
ila kwakua we are both different. i guess hanifai

Conclusion
i better keep my self available. hakuna anaenifaa kati ya hao japo duniani hakuna perfect man na hata mimi sio perfect. nikiwa na wa kwanza nitamcheat bureeeeee. ndoa inahitaji commitment. wa pili nae atanifanya nijuteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kumfahamu
i am a single girl from now. thanx all kwa ushauri

harakaraharaka timiza hayo uloandika hapo kwenye red, wote hawakufai dear

usiwe na mtu kwa kumuonea huruma au eti kwa sababu anakucare sana kwani wewe huwezi kujihudumia, unatakiwa umpende kwanza mtu ndo utaona raha ya kuwa nae huyo wa ofisi utaaaaajuuuuuuuuuuuuta kuwa hapo ofisini very soon soon anaweza kuwa na mwingine hapohapo sipati picha situation utakayo kuwa nayo
 
Umeeleza vyema lakini hajaainisha mapungufu uliyonayo, yawezekana mwenzio ameyaona ila anayavumilia, kwanza una uhakika gani mdomo wa kwako haunuki? Je una Sura,sifa na tabia za kumpata mwanaume unayemtaka, wenye hizo sifa tupo ila kabla haujaja kwangu uwe na sifa zifuatazo:-, uwe na rangi ya chokulate ambayo ni angavu na laini, uwe na uso wa duara usiwe mpana, usiwe na mfupi sana, uwe na umbo linaloeleweka (shape), uwe na nywele ndefu zisiwe fupi, usiwe mwembamba sana na vile vile usiwe na mwili wa kunenepa sana, uwe na hips na makalio kiasi sio makubwa sana, uwe na miguu ya kuweza kuvua nguo fupi, usiwe na mdomo mkubwa, usiwe na chunusi usoni, usiwe unahema kwa kishindo(bad breadth), uwe na maziwa mazuri sio ya kutumia jeki, uwe msafi wa ndani na nje, uwe na sehemu za siri ambazo zinabana zisiwe kubwa sana nakutoa maji mengi au kunuka, usiwe na kichwa au maziwa makubwa, usiwe na sauti ya mkwaruzo au kali sana, mkarimu lakini si wa kutawala mazungumzo mbele ya rafiki zangu, usiwe mbishi uwe mwelewa, uwe unajua kupika na kutoa ushirikiano tukiwa faragha, uwe wa kuvua chupi nyeupi au pick na sio nzeusi. Kama una hizo sifa ni PM
 
umeeleza vyema lakini hajaainisha mapungufu uliyonayo, yawezekana mwenzio ameyaona ila anayavumilia, kwanza una uhakika gani mdomo wa kwako haunuki? Je una sura,sifa na tabia za kumpata mwanaume unayemtaka, wenye hizo sifa tupo ila kabla haujaja kwangu uwe na sifa zifuatazo:-, uwe na rangi ya chokulate ambayo ni angavu na laini, uwe na uso wa duara usiwe mpana, usiwe na mfupi sana, uwe na umbo linaloeleweka (shape), uwe na nywele ndefu zisiwe fupi, usiwe mwembamba sana na vile vile usiwe na mwili wa kunenepa sana, uwe na hips na makalio kiasi sio makubwa sana, uwe na miguu ya kuweza kuvua nguo fupi, usiwe na mdomo mkubwa, usiwe na chunusi usoni, usiwe unahema kwa kishindo(bad breadth), uwe na maziwa mazuri sio ya kutumia jeki, uwe msafi wa ndani na nje, uwe na sehemu za siri ambazo zinabana zisiwe kubwa sana nakutoa maji mengi au kunuka, usiwe na kichwa au maziwa makubwa, usiwe na sauti ya mkwaruzo au kali sana, mkarimu lakini si wa kutawala mazungumzo mbele ya rafiki zangu, usiwe mbishi uwe mwelewa, uwe unajua kupika na kutoa ushirikiano tukiwa faragha, uwe wa kuvua chupi nyeupi au pick na sio nzeusi. Kama una hizo sifa ni pm
najiamini..nitampata, ila wewe siwezi kwa sababu
mie ni mweupe, japo sio sana ila sio chocolate colour. Pia sura yangu ni ya duara and i think ni pana
 
am a man! 2najijua ma cta! Huyo wa mwz ndo perfect coz hy mengine utamteach ataendana nw! N about harufu ya mwl jitaid kumshaur ht about kuchang diet
 
Mimi ni msichana wa miaka 27. Nimewahi kua na uhusiano wa kimapenzi na kijana mmoja ambaye alikua ndiye mwanaume wa kwanza kwangu ila tuliachana baada ya kugundua kua mwenzangu baada ya kupata kazi hakua na mawasiliano (hata msg) nami kwa takribani miezi miwili kwa madai kua alikua bize.

Baada ya kuachana nae niliamua kua single na kukaa hivyo kwa mwaka mzima ambapo alijitokeza kijana mmoja tuliejuana Facebook nakuonyesha kunipenda sana. Sikua nikimwamini hasa kutokana na tulipokutana. Kubwa zaidi, nilimuona kua ni mdogo kua na mimi (amenipita kwa miezi mitatu tu) na tukiwa pamoja mimi naonekana mkubwa kwake kwani ana baby face.

Kijana huyu anaishi mwanza namimi naishi Dar. Kilichonifanya nimkubalie ni ule upendo aliokua akinionyesha. Alikua akitoka mwanza kwa ajili yangu, atakuja dar na kutumia siku zote na mimi bila kuwaona rafiki zake wala ndugu zake. Atakuja kila mwezi japo w. end na popote anapopata off kazini.

Anajali, ananipenda, atafanya lolote kwa ajili yangu. Mfano, alikua anakunywa pombe ila siku ya kwanza tu kukutana na kugundua kua sipendi pombe aliacha, hakua akienda kanisani ila tangu nimuulize amekua akienda bila shida. Kila mara huniambia anatamani angeweza kunifanya niwe na furaha siku zote.

Dada Dinnah, mi sio muombaji, sikuwahi kumuomba mwanaume hela au vitu kama vocha. Kaka huyu hunitumia vocha kila siku na mara kwa mara huniwekea hela Bank au kwa M Pesa hadi kuna kipindi tunashindwa kuelewana kwani naona anafanya too much. Anapokuja hunifanyia shopping na akiondoka huniachia hela.

Kielimu nimemzidi (ana degree) ila ana kazi yenye kipato kizuri, mimi elimu yangu ni degree ya pili (Masters)nafanya kazi ila pia nasoma postgraduate diploma ktk chuo kikuu cha dar es salaam kwa hiyo pamoja na majukumu mengine najilipia ada. Nasema hivi kuonyesha kua angeweza asifanye yote hayo akiamini kua nina uwezo.

Ana mtoto aliyempata akiwa sekondari na aliniambia mapema tu na maelezo yake yanaridhisha(mwanamke keshaolewa).

Tatizo nililo nalo ni kua, sijisikii kuvutiwa na huyu kaka, kwanza hajui kukiss nimejaribu kumfundisha ila naona hataaaa haelekei. Sijui midomo (lips) yake migumu na midogo..hata sielewi. Sipendi harufu ya kinywa chake, mwili wake hata akitoka kupiga mswaki au kuoga.

Pumzi yake ndo sitaki kabisaaaaaa akinihemea nashindwa kuhema. Kuna muda hata anishike vipi nahisi kama naumia na hata kama nilikua na nyege zinapotea.

Kazini, kuna kaka mmoja ambaye tulianza kazi pamoja, tulikua marafiki (very close hadi watu wakawa wanatutania (girlfriend na boyfriend) sio siri huyu kaka alinivutia sana ila nikawa najitahidi kutokumuonyesha.

Naye alikua akinambia kila siku anafurahi sana kufanya kazi pale kwani kumemkutanisha na mimi. Mara nyingi alipenda kua namimi, atanitembelea nyumbani, atanitoa out n.k kikubwa alijua kua nina boyfriend nami nilijua kua ana girlfriend. kosa nililolifanya ni kumkiss kwani siku tulipokiss tu sikuweza kumtoa mawazoni mwangu. He is a perfect kisser!!!

Huu ulikua ni mwanzo wa kujikuta namsaliti kaka wa watu na kua na uhusiano na huyu kaka. Sio siri kama kuna kitu wanakiita soul mate huyu ndie pale linapokuja suala la mapenzi romance, sex, cuddling…etc he is very good.

Tatizo la huyu kaka wa kazini sasa, mawasiliano kwake ni F. kwa siku nzima atanitumia msg moja tu nayo inasema SWEET DREAMS. Madai yake ni kua tumeonana kazini ambapo kazini kila mtu ana ofisi yake na hakuna la ziada zaidi ya HI! HI!

Mara nyingi akinitafuta like w. end tunaishia kusex na atanirudisha nyumbani kwangu like two hours baada ya tendo. Anapenda sana Pombe na marafiki kwa hiyo anaweza kukaa wiki mbili bila kukutana nami tofauti na kazini na anaweza kunambia kesho nitakutafuta mchana but atakua na sababu ya kutokuja muda ukifika.

Like ooh gari yangu imeharibika naenda garage, oooh naenda home kuwasalimia..mara oooh auncle anaumwa…ilimradi tu hatokuja.
Msg nikimtumia anajibu after 3 or more hours au hatojibu kabisa.

Nitakapokutana nae next day, ana sababu nzuri tu ya kutojibu na mara azote hujaribu kunielezea jinsi siku yake ilivyoisha. Hajawahi kunipa chochote kama zawadi au hela hata vocha ya 500.

Ninamkasirikia sana mara nyingi niwapo peke yangu ila mara tu nitakapokutana nae ananifanya nasahau yooooote nakujiona nipo mwenyewe duniani.Nimechoka kuishi katika maisha haya ya mahusiano na watu wawili.

Nashindwa nichague Yupi??? Naambiwa there is no perfect man ila kipi bora katika ndoa???nahitaji kuwa na familia baada ya mwaka mmoja na nusu tangu sasa.

Nishaurini tafadhali.

Poleni kwa maelezo marefu sana

mi apo ndo wanawake wanaponichoshaga asee,namuonea huruma uyo jamaa wa sana,ila wee una tamaa sana ila kwa kifupi uyo jamaa wa mwanza ni zaidi na inabidi umwombe msamaha
 
aaaah kumbe na ww mwenyewe hovyoooooooooooo Masters yako inakusaidia kupata mshahara tu na-kuhudhuria visemina, sasa kama ulikuwa unajua ubakie single ya nn kuleta uzi humu JF!!kanunue vile vifaa vya kujiridhisha mwenyewe Kinondoni basi ndio iwe mumeo naona unatuzingua tu!!

hivi viwanawake vyenye master cjui degree ni matatizo matupu alafu uyu atakua muhaya bila shaka,wa kwangu mi nlimtimulia mbali asinletee upuuzi,awa ni kupiga na kutembea tu.
 
Huyo wa mwanza bado ni mtoto, yani akili yake bado ya kitoto-toto na huyu mwingine his z just a player. jaribu kuona tofauti kati ya LOVE na INFACTUATION. USHAURI: Achana na wote, na uanze sali na Omba Mungu akupe wako mtakae jenga familia.
Nawakilisha.
 
Nawakilisha.:disapointed:
 
Yaani huu ushuhuda wako unanifanya roho iumeeee..... Where are the brothers? Wakaka/wababa wa kuona wanapatikana wapi kwa mtindo huu? Sad.

Huyo kijana ambae mko the same age… Sababu umekua wazi kua humpendi it is beta tu uachie ngazi mapema….. Na ni kweli kua ni mdogo kwako as much as wote mpo Umri mmoja. Kwa maelezo yako naamini ni kweli anakupenda… Ila bado hajakomaa sana kifikra na kimatendo. Nasema hajakomaa kwa sababu zifuatazo…

Mwanaume hata kama kakupenda vipi ni lazima aweke nafasi ya rafiki/ndugu/jamaa…. Labda tu itokee mlipanga kuspend a weekend kama siku mbili hivi kwa ajili yenu tu. Ila inapotokea anakaa mda mrefu hapo mjini na asitafute ndugu /rafiki/jamaa yeyote na wapo wengi ni dhahiri kua bado yupo katika stage ya kuwehuka na Mapenzi. Hivo basi atakapo kaa sawa huyu aweza badilika vibaya mno.

Mahusiano ya watu wazima hambadilishani tabia…. Mna compromise na kurekebishana taratibu with time… Haiwezekani amekuja mara moja atake kuacha pombe, mara moja aende kanisana na mara moja a transform tabia zote ambazo wewe hupendi. Lazima ata lapse na kurudi tabia zake. Mwanaume alo mature atakuambia kua sasa kama hupendi nitapunguza taratibu na kujitahidi kutofanya kwa sana…. Hio ya kubadilika yaweza kuja with time.

BTW Ni marufuku when a man takes care of you to the maximum uanze kusema Punguza… Wewe kua mvumilivu atapunguza tu! Believe me you he won’t do it forever…. Na hata akifanya forever lazima itapungua kiasi Fulani.

Huyo kaka wa Kazini naomba pitia HAPA (Do you feel Loved?)
yeah ts xerious ashadii unajua ts beta ku stay sehemu unayopendwa kuliko usipopendwa ingawa dadam kaonesha anamkubali sana huyo mchizi wa ofisini but wat am try 2 say ni dadam kukaa friendly na mchizi wake na kumueleza v2 asivyopenda na kama alivyosema mshikaji dzain kama wamepishana kdogo ishu ya age so dzain kam huyo mchizi bado ana u chalii fulani but i hope utaisha na mambo yatakuwa poa tuu na ishu ya kujua ni nii HUYO JAMAA WA OFISINI HAKUPENDI
 
Back
Top Bottom