Yatokanayo na Kamati Kuu ya CHADEMA-Tamko Rasmi la Chama

Hivi, huwa hamna hoja za maana? Hata kwenye taarifa? Mimi nilidhani mtakuja na mapya, kumbe ndio yale yale ya kwenye JF!

Hivi hawa viongozi wa Chadema hawana sera ila Dowans? "Dowans isilipwe", "Dowans itaifishwe".

Yale yote aliyoyaongea Kikwete ya mipango ya umeme wa kudumu, nyie mnayarudia na kujifanya ndio hoja yenu. Mnashangaza kweli kweli. !!!
 
Lipeni Dowans muone.
 
Tumeipokea Taarifa kama Tamko kwa Mikono Miwili, tunawaombea Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema awajalie nguvu na baraka tele katika majukumu yenu ya Kisiasa; CDM iimarishe Ulinzi Binafsi wa Dr. Slaa badala ya kutegemea Polisi peke yao, maana vita hii uongozi wa Polisi kinadharia ni wenzetu lakini kivitendo siyo wenzetu, yawezeka Mnao wapinga na kuwaudhi wamekwisha wanunua na sasa Polisi hawatumikii Umma tena.
 
Hivi, huwa hamna hoja za maana? Hata kwenye taarifa? Mimi nilidhani mtakuja na mapya, kumbe ndio yale yale ya kwenye JF!

Hivi hawa viongozi wa Chadema hawana sera ila Dowans? "Dowans isilipwe", "Dowans itaifishwe".

Yale yote aliyoyaongea Kikwete ya mipango ya umeme wa kudumu, nyie mnayarudia na kujifanya ndio hoja yenu. Mnashangaza kweli kweli.
!!!
uwezo wako wa kuchangia hoja zingeNE una Ukilaza,. Je tamko hili linalosubiliwa na viongozi wa ccm kama dira yao sasa mnahaa,kesho tutawasikia wakijibu,Hamuwezi kaa kimya na amutaweza kaa kimiya kwa sababu bira cdm hakuna dira.
 
CDM inaonyesha hajui hawajui hata mfumo wa uchumi wa soko. Dunia nzima iko kwenye system hiyo. Serikali kushusha bei ya mahindi wakati usafirishaji unategemea mafuta ni ndoto. Biashara sasa ya sasa ni soko hurui. Infact cdm hata wakikataa wao ni wachochezi. Unampa rais siku 9 then what next.
Acheni wananchi wafanye kazi. Kampeni 2015 not now I love Tz.
 
Nawashukuru chadema kwa kutoa tamko makini kama lilivo. Natumaini serikali itajaribu kufanyia kazi mapendekezo yao.

Nawaombea cdm nguvu,amani na ujasiri ili muendelee kupigania haki na maslahi ya mtanzania wa kawaida.

Gracious chadema.
 
bongo sasa kumekucha.......siasa ndio imeanza vuta nikuvute kati ya wenyenchi na wanaharakati

Ni wenyenchi na wenyedhamana ya utawala. Mpira ukirushwa kwenye nguvu ya umma maana yake wenye nchi wadai hali yao kwa wenyedhamana
 
KAMATI Kuu ya CADEMA imeiagiza sekretariate yake kuchukua hatua za kisheria dhidi ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Sophia Simba kutokana na kauli anayodaiwa kuitoa kwamba chama hicho kinafadhiliwa na mataifa kutoka nje kufanya maandamano.

Msimamo huo ulitolewa jana na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam.

SOURCE NIPASHE
 
Sioni cha maana ila pumba na porojo, hata taarifa haijakaa kitaarifa, uliona taarifa gani inashindwa kujieleza na inatumia "nk".

What? "nk" kwenye taarifa? ina maanisha nini? Hamna cha kuandika.

Your brain is half empty! I wish it was, at least, half full.
 
Mimi mala nyingi huwa si mwelewi huyu mama sofia simba,sielewi kama ni yeye huwa anatowa kauli ama kuna msemaji wake,kwani mara kwa mara amekuwa akiropoka maneno na kauri zisizo na msingi na kuna siku aliwahi kupaluwana na mama malecela,nadhani atakuwa anamatatizo kidogo

sielewi ni kwa nini watu wa namna hiyo wana pendwa sana na watawala,mama simba amekuwa ni waziri wa kuongea ovyo nakumbuka aliwahi sema haoni kama kuna umuhimu wa kuwa na katiba mpya mara ooo serikali haina pesa ktk mchakato wa katiba mpya
sasa mawaziri kama hawa ndio wanatufanya tuzidi kubaki hapa tulipo
2498178.jpg
 
Hapa ndiyo nyumbani kwa Mheshimiwa Sophia au? Uhusiano wa habari kuu na picha ni nini?
 
nyumba hiyo imeniacha hoi na walala hoi hao bado tu wana ng'ang'ana na bendera za jembe na nyundo!
Mimi mala nyingi huwa si mwelewi huyu mama sofia simba,sielewi kama ni yeye huwa anatowa kauli ama kuna msemaji wake,kwani mara kwa mara amekuwa akiropoka maneno na kauri zisizo na msingi na kuna siku aliwahi kupaluwana na mama malecela,nadhani atakuwa anamatatizo kidogo

sielewi ni kwa nini watu wa namna hiyo wana pendwa sana na watawala,mama simba amekuwa ni waziri wa kuongea ovyo nakumbuka aliwahi sema haoni kama kuna umuhimu wa kuwa na katiba mpya mara ooo serikali haina pesa ktk mchakato wa katiba mpya
sasa mawaziri kama hawa ndio wanatufanya tuzidi kubaki hapa tulipo
2498178.jpg
 
Mimi mala nyingi huwa si mwelewi huyu mama sofia simba,sielewi kama ni yeye huwa anatowa kauli ama kuna msemaji wake,kwani mara kwa mara amekuwa akiropoka maneno na kauri zisizo na msingi na kuna siku aliwahi kupaluwana na mama malecela,nadhani atakuwa anamatatizo kidogo

sielewi ni kwa nini watu wa namna hiyo wana pendwa sana na watawala,mama simba amekuwa ni waziri wa kuongea ovyo nakumbuka aliwahi sema haoni kama kuna umuhimu wa kuwa na katiba mpya mara ooo serikali haina pesa ktk mchakato wa katiba mpya
sasa mawaziri kama hawa ndio wanatufanya tuzidi kubaki hapa tulipo
2498178.jpg
hii yumba inaonesha wakazi wake wana akili zinazofanana na Sofia.Wanaishi maisha bora kwa kazi zaidi
 
Dada nimependa haya mawasiliano,yanasaidia kujuwa nini kilifanyika ,wapi na kwa nini,niwapongeze viongozi wa chadema kwa kutambuwa kuwa Jf pia ni sehemu ya kufikisha ujumbe,

tuzidi kuwa pamoja na wamoja pia kwa kila jambo
 
Tuhuma nyingi zimeshatolewa dhidi ya CHADEMA,
kwanini hili linaonekana kuwagusa sana CHADEMA?
 
Back
Top Bottom