Yatokanayo na Kamati Kuu ya CHADEMA-Tamko Rasmi la Chama

Mie nilifikiri watakuja na vitu vipya na vya maana, kumbe ni pumba zilezile za JF. Duhhh.
 
Taarifa ni nzuri ingawaje imejadili mambo mengi mno na kukosa IMPACT inayotakiwa. Ni vizuri kwenye vikao kujadili mambo mengi, lakini summary ikae kwenye issue muhimu kama nne, ili mkazo ueleweke, otherwise inakuwa vigumu KUWEKA WEIGHT kwenye mambo lukuki.

Issue ya UMEYA WA ARUSHA, naomba sana pamoja na rafu zote zilizofanyika, lakini sasa kama Chama, CHADEMA wamove on. Sijapenda pale ambapo taarifa inasema baada ya siku 21, nguvu ya umma inaweza kutumia ( This is SERIOUS) na kwa kweli inaweza kuleta Fujo na vurugu ambazo zitaprove CCM RIGHT kuwa chadema wanataka kuvunja amani.

In truth, hata kama uchaguzi ukifanyika leo wa Umeya wa Arusha as long as # ya madiwani imekamilika kwa CCM kuwa na zaidi na TLP(MREMA kuwa mkononi mwa JK) CCM ITASHINDA.

Umeya wa Arusha sio muhimu kiasi hicho, madiwani wa Chadema wafanye kazi ya kutetea wananchi, na Chadema wawaeleze wananchi wa Arusha uchaguzi ujao wachague madiwani wengi wa Chadema ili kupata Umeya.

Kama ndivyo cdm lazima ijipromote.
 
Hiii imetulia,Huu NDIO MWONGOZO WA SERIKALI HILIYOPO MADARAKANI WAPELEKEENI UWASAIDIE.
Sasa kwa hiii utaona matamuko mengi ya viongozi wa serikali inatolewa kujibu TAMKO hili baada ya kufanya kazi.
Watu watachanganyikiwa natumaini mkuu wa polisi Arusha ataomba rikizo kabla siku 21 azijaisha mungu wangu
 
Nieisoma hii taarifa kwa makini sana. Ama kwemi chadema ina watu makini, focused and objective. Nashauri wana JF before hujachangia soma vizuri kwaza, in the recent past hapa JF nimeone watu wanakurupuka kuchangia kwa kusoma tuu kichwa cha habari mpaka inafikia mtu unayemwamini yuko makini anacomment kitu cha ajabu baadaye unahgundua hajasoma. Hiyo ni rai yangu.
 
This report ndio Tanzania yetu. Nashukuru na nasema "Thanks" Again kwa inform mnazotupa zinatusaidia sisi sote Watanzania. Tuendelee kuwalinda na kuwaombea viongozi wetu ili Nchi Yetu Ijengeke Sio Kubomolewa.

"Ni Vigumu Sana Kupata Viongozi Resilient and Couragoues Kama Hawa Chadema, Tuwalinde Popote Walipo Kuhakikisha Wanafanikisha Taifa Letu. Jukumu ni Letu na Tunajua Ubaya na Uharibifu wa ccm. Alikuja Sokoine na Kolimba, Leo ni Majonzi hata Mwakyembe na Sitta Tuwalinde"​
 
nakubaliana na comrade moelex23, inshu ya umeya ars na kutoa siku 21 sioni mashiko sana. nguvu ya umma maana yake nn? kwn kama jamaa (ccm) waking'ang'ania hakuna njia nyingine ya kufuata kwa taratibu za kisheria? mi siwaelewi wanaposema nguvu ya umma,what do they mean? otherwise cdm nawakubali sna tu lkn kwa hili napatwa na ukakasi sioni kama limetulia
 
kihere here kitakuja kukuponza, hivi huoni ume convert dollar to dollar? au hizo za kwanza ni za Zimbabwe?


mkuu hayo ni mahesabu tu..dola milioni 11,000 ni sawa na bilioni 11..yaani kwenye bilioni 1 kuna milioni 1,000!! ivyo kwenye bilioni 11 kuna milioni 11,000!!
sasa kama kiherehere wewe ndo unacho!!
otherwise wewe ni ngwini!!!
 
Sioni cha maana ila pumba na porojo, hata taarifa haijakaa kitaarifa, uliona taarifa gani inashindwa kujieleza na inatumia "nk".

What? "nk" kwenye taarifa? ina maanisha nini? Hamna cha kuandika.

unakera.. Na upo tofauti sana na binaadamu wa kawaida, ''if everybody is against you, be very carefull'', ''sauti ya wengi ni sauti ya MUNGU.'' sasa ndugu yangu, kama jf nzima ipo against na wewe, take a step back n look at urself, ujue kama unachoongea ni point au matapishi??
 
Sioni cha maana ila pumba na porojo, hata taarifa haijakaa kitaarifa, uliona taarifa gani inashindwa kujieleza na inatumia "nk".

What? "nk" kwenye taarifa? ina maanisha nini? Hamna cha kuandika.
Tatizo ni misaada ya bure uliozoeya.Tisheti na kanga,ndo vinakusumbua,Masema pasuka upasuweli
 
kwn kama jamaa (ccm) waking'ang'ania hakuna njia nyingine ya kufuata kwa taratibu za kisheria?

mkuu taratibu za kisheria kwa nchi ipi? hao majaji wenyewe ni wateuzi wa mwenyekiti wa CCM!! sasa huko mahakamani kweli kutakua na haki?!?!

ndo mana CHADEMA wanaona njia iliyobaki ni kwa wanaArusha wenyewe kuamua!!
 
Zile siku 9 ziliishia wapi? Sasa naona wamekuja na 21. Inashangaza, hizi "digits" sijui wanazitowa wapi?
 
unakera.. Na upo tofauti sana na binaadamu wa kawaida, ''if everybody is against you, be very carefull'', ''sauti ya wengi ni sauti ya MUNGU.'' sasa ndugu yangu, kama jf nzima ipo against na wewe, take a step back n look at urself, ujue kama unachoongea ni point au matapishi??

Hivi wewe mwalim wako alikufundisha kuandika taarifa na kutumia "nk"?
 
Mfa maji siku zote haachi kutapatapa,hivi umekosa hoja productive kwenye hiyo taarifa uka challenge hadi ukimbilie kwenye grammar?,and what are you trying to prove us ni kwamba wewe ni mvivu wa kufikiri,kupambanua na kujenga hoja,you deserve to be where you are:lol::juggle::ballchain:
Halafu ndio imeandikwa na Dokta wa kanoni "nk".
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom