Yasemwayo na mke wa mtu wakati wa Zinaa

nyie kuleni wake za watu lakini jua na wako na yeye ataliwa au analiwa sasa hivi unaposoma haya fikiria kwanza
jana alikuaga anaenda wapi?
Mkuu I can feel your pain. Mwenyewe unamuamini wife kumbe wenzio wanakumegea tu......Mimi kuna mmoja alikuwa ananiambia yaani nikikuona tu mwili wote unawasha halafu una mb** nzuri. Yaani ni full usanii. LOL
 
Ukishamaliza anakuambia " we mbaya yaani naenda mlisha mume wangu makombo yako nyok*" wakati huo mzee mwepesiiii hata husikii anachokwambia teh teh teh
Mkuu hapo kwenye red nimekutana nayo sana, halafu eti unakuta mtoto anakwambia ushaikuza bure nanihii yangu sijui nitamwambia nini mume wangu. (Wizi mtupu)
 
Jamani wanume mnaoshiriki jambo hili na uliza tena mkiambiwa maneno hayo na nyie huwa mnawajibuje au mnakauka tu? mbona hivyo....
 
huku kigamboni pazuri mr hajawahi kunileta hotel nzuri namna hii!namuuliza hivi mr akitaka nae usiku utampa?mhh nitasema naumwa najisikia vibaya

Au anasema leo nikifika home ntanuna ili asinisemeshe, au ntaanzisha ugomvi tu ili asiniombe.
 
Most married women are devils, sorry! They normally pretend to be smart while in actual sense they are Delilas ( Bible).
 
Most married women are devils, sorry! They normally pretend to be smart while in actual sense they are Delilas ( Bible).
 
Siku ya kwanza mnapomaliza: 'jamani haya mambo mi mwenzio sijawahi yani tangu nimeolewa ni yeye tu! Leo chinga ataniua wallahi mwanaume mbaya wewe!' au anaweza kusema 'hakyanani leo ndio nimebikiriwa nlikuwa bado' (ana watoto 2).
Siku ya marudio: 'Jamani we haya mambo umeyajulia wapi mbona mwenzio hajui lolote?'
Siku zinazofuata anakuwa anamtukana mumewe kila mizuka inapompanda kunako tendo "Jamani we ndio mwanaume! Nanihii **** kabisa tena ms*ng*!"
 
Mtatuvunjia Ndoa wakuu!

Haya mambo mengine mnayobandika hapa yanaweza kuleta mitafaruku kwenye jamii!

Respect please!
 
mnajua kwamba kuna sehemu imependekezwa id zitajwe
mara tutanguliapo kwenye haki. kwa michango ya aina hii
tutawacha kasheshe hapa ulimwenguni lol
 
... na mwanaume anayemzini mke wa mtu kumbe naye kaoa. Naye kwenye majambo atamwambia mzinzi mwenzake " wewe mtundu, yaani una nijulia wewe"
 
... na mwanaume anayemzini mke wa mtu kumbe naye kaoa. Naye kwenye majambo atamwambia mzinzi mwenzake " wewe mtundu, yaani una nijulia wewe"

kwa kwel umetaka kunivunja mbavu_ckuwah kuipitia hii thread kabla
 
Back
Top Bottom