Yasemwayo na mke wa mtu wakati wa Zinaa

View attachment 19380na mwingine atakwambia unajua mm sijawahi kutoka kabisa nje ya ndoa, ww umenidanganya sijui una dawa, bwana wangu kanikuta bikira,
ni kwako tu siwezi tena kutoka nje ya ndoa nakuapia, sidhubutu
Majibu ya mwanaume mwizi: unajua nakuamini sana ww, najua upo serious, hutoki nje ya ndoa ila kwangu tu, unajua hata mm sifuati mwanamke hovyo, ila ww hata sijui imekuwaje, athante thaaaaana, i luv u.
Uongo ndani ya ndoa mbaya, wacheni hii kitu wanandoa
 
jamani mnaochangia aina ya hayo maneno ina maana mnakuwaga nao, acheni basi hako ka mchezo ...........wanawake wako kimyaaaa wanatafakari na wao wanaume za watu wanavyo waelezaga........its so funny
 
nyie kuleni wake za watu lakini jua na wako na yeye ataliwa au analiwa sasa hivi unaposoma haya fikiria kwanza
jana alikuaga anaenda wapi?
 
nyie kuleni wake za watu lakini jua na wako na yeye ataliwa au analiwa sasa hivi unaposoma haya fikiria kwanza
jana alikuaga anaenda wapi?

Mke anayeliwa nje ya ndoa analiwa kwa ridhaa yake! Mwanamke ndo mwenye uamuzi wa mwisho ktk hilo. Akikataa hakuna jinsi zaidi ya kumbaka kitu ambacho ni jinai.
 
Wakati unakula mke wa mtu utasikia anakuambia. Hivi unajua mimi sijazoea kabisa mambo haya. Hivi kweli unanifanya namsaliti mume wangu!!!

Kama hujazoea si uache????

maadili kwishnei....wale waliolitupilia jalalani azimio la arusha. maadili yamekuwa mmong'onyoko tu. Huu uchakachuaji wa ndoa za watu, unatuletea balaa!! sasa imekuwa kila kitu mchakachuo. tunaelekea kubaya au tumekuwa kubaya??

nyumbani mchakachuo, shuleni mchakachuo,makazini mchakachuo,uraia mchakachuo, mapenzi mchakachuo, phds mchakachuo,kura mchakachuo,, ndio tumepona hapo!!???
 
Mdoe, Munghiki, drphone na jaba-li mkiambiwa hayo maneno nyie huwa mnajibuje?
 
te he te he te he! Haka kamchezo kabaya sana....,..but truly mwanamke ndo mwenye kura ya veto ktk kuamua
 
Ukishamaliza anakuambia " we mbaya yaani naenda mlisha mume wangu makombo yako nyok*" wakati huo mzee mwepesiiii hata husikii anachokwambia teh teh teh
 
Wakati unakula mke wa mtu utasikia anakuambia. Hivi unajua mimi sijazoea kabisa mambo haya. Hivi kweli unanifanya namsaliti mume wangu!!!

Kama hujazoea si uache????

BORA SIYE OKOTAOKOTA
UNACHAPA INALALA UNASEPA:peace:
 
halfu unajua nini mazee so fresh nini kula dem wa mchizi
mi nawa respect sana kama vipi fikiria nini dem wako analiwa sio freshi
 
Back
Top Bottom