Yasemwayo na mke wa mtu wakati wa Zinaa

Wakati unakula mke wa mtu utasikia anakuambia. Hivi unajua mimi sijazoea kabisa mambo haya. Hivi kweli unanifanya namsaliti mume wangu!!!

Kama hujazoea si uache????
Hapo unahakikisha goti lake lafika kisogoni...na mito miwili chini ya kiuno.... mupe pushap kumi na tano za NGUVU za kiuno huku ukimwambia arudie tena kauli yake...!!
 
Wakati unakula mke wa mtu utasikia anakuambia. Hivi unajua mimi sijazoea kabisa mambo haya. Hivi kweli unanifanya namsaliti mume wangu!!!

Kama hujazoea si uache????
Utaskia "Yaani mume wangu angekuwa anaweza kama wewe yaani nisingekupa" wizi mtupuuuuuuuuuuu!!
 
View attachment 19380na mwingine atakwambia unajua mm sijawahi kutoka kabisa nje ya ndoa, ww umenidanganya sijui una dawa, bwana wangu kanikuta bikira,
ni kwako tu siwezi tena kutoka nje ya ndoa nakuapia, sidhubutu
Majibu ya mwanaume mwizi: unajua nakuamini sana ww, najua upo serious, hutoki nje ya ndoa ila kwangu tu, unajua hata mm sifuati mwanamke hovyo, ila ww hata sijui imekuwaje, athante thaaaaana, i luv u.
Uongo ndani ya ndoa mbaya, wacheni hii kitu wanandoa

AGraaaaaaaaaaaa ,mmmmmm, ACHA KUSEMA UKWELI WEWE!
UKWELI UNAUMA LAKINI PIA UNACHEKESHA SANA HAPA. nIMEIPENDA KOMENTI YAKO HAIJAPENDELEA, IMETWANGA KWA WAASHERATI WOTE WAKIKE NA WAKIUME. acHA KUSEMA UKWELI WEWE IGA NYAYO ZA sERIKALI NA dOWANS, uKWELI UNAUMAPO, MWE!
 
"Tena leo ndio mwisho, usitafute na mimi sikutafuti"- Hii inatokea wakati anavaa nguo ili arudi kwa mumewe
 
huku kigamboni pazuri mr hajawahi kunileta hotel nzuri namna hii!namuuliza hivi mr akitaka nae usiku utampa?mhh nitasema naumwa najisikia vibaya
 
"Ahaa nimekosea number, kumbe ni wewe, nilikuwa nampigia mme wangu anyway tuonane lini?" - kumbe anataka mkitooo
 
umesahau na hii... Hv unajua toka nifunge ndoa ww ndo mwnaume wa kwnza knifundisha kutoka nje ya ndoa yng?. Cjui umeniwekea nin mpk nmekukbalia!

Kama sikoseki sweetlady si ni wewe kwenye tread fulani ulikuwa unaomba ushauri kuwa mume wako
katoka nje ya ndoa!Usije na wewe umeamua kurevenj
 
Wakati unakula mke wa mtu utasikia anakuambia. Hivi unajua mimi sijazoea kabisa mambo haya. Hivi kweli unanifanya namsaliti mume wangu!!!

Kama hujazoea si uache????
Dogo unaelekea kusiko kwema kabisaaa....
Acha hiyo maneno, mke wa mtu ni sumu kaka
 
hello kula kidogo bakisia na mwenyenayo!. ukipenda kumega wawenzio nawe wako atamegwa hapahapa duniani!
 
my favourite ni hiii......

mume wangu mkali sana,akijua ataniua....lol
 
umesahau na hii... Hv unajua toka nifunge ndoa ww ndo mwnaume wa kwnza knifundisha kutoka nje ya ndoa yng?. Cjui umeniwekea nin mpk nmekukbalia!
Duh yaani kumbe unanisaliti mke wangu. Leo ukirudi nyumbani fungasha urudi kwenu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom