Yasemwayo na mke wa mtu wakati wa Zinaa

Hizo ni psychology za mapenzi, ungejisikiaje kama angekwambia kwa siku moja hutembea na wanaume kumi na wewe kwa siku hiyo ni wa tisa au wa kumi? Je ikitlkea condom imekatika ktk situation zote mbili utajiskiaje, yaani anapokwambia hajawahi kutoka au hutoka mara kwa mara?
 
Wakati unakula mke wa mtu utasikia anakuambia. Hivi unajua mimi sijazoea kabisa mambo haya. Hivi kweli unanifanya namsaliti mume wangu!!!

Kama hujazoea si uache????

Hutamuelewa maneno yake....
Kwa sababu tayari unajua unachokitenda si sahihi.
Pia kwanini uibe mali ya man mwenzio?
 
View attachment 19380na mwingine atakwambia unajua mm sijawahi kutoka kabisa nje ya ndoa, ww umenidanganya sijui una dawa, bwana wangu kanikuta bikira,
ni kwako tu siwezi tena kutoka nje ya ndoa nakuapia, sidhubutu
Majibu ya mwanaume mwizi: unajua nakuamini sana ww, najua upo serious, hutoki nje ya ndoa ila kwangu tu, unajua hata mm sifuati mwanamke hovyo, ila ww hata sijui imekuwaje, athante thaaaaana, i luv u.
Uongo ndani ya ndoa mbaya, wacheni hii kitu wanandoa
halafu wanawake kama hawa ndio huwa wanalazimisha harusi ili wawe na protection, ndoa kitu gani bana

MwanaFA hukukosea kuimba "Bado nipo nipo kwanza"
 
From all these submission, I see guilty conscious(sp) for the womenfolk, please all JF ladies and others who are reading, respect your marriage and the man you said 'I do to '
All this is just 'tamaa' ladies let's be the ones to cut these dirty ties, its very unfortunate when we are 'discovered'....
One love Mhandisi Nsiande
 
Suala la kujiheshimi ni la mtu binafsi na pale unapojaribu kumshauri mtu ambaye anaona tabia yake ni nzuri kwa matendo anayoyafanya utaonekana mbaya na unamwingilia uhuru wake na zaidi sana utaonekana kama unaingilia maisha yake na hata kukuona wewe kama mshamba wakati ni faida yake.
 
Derimto mambo ndugu, sijakuskia siku kidogo.
 
uko mi sijazoea, mume wangu mwenyewe sijawahi mpa, ila nakupa leo tu, usirudie tana, ila taaamuuu.!!!!!!!
wanawake wengi wakitoka nje ndoa huwa wana bisexual. waache kabisa.
 
Jamani mie ma-ex wangu wote wameolewa ila nikirudi kitaa tu natafutwa kama lulu, kisa jamaa hawajui kucare, hawawapeleki out, walevi nk nk. Mie uwa nabanjua tu na hayo maneno nimeyasikia sana na nimeshawazungusha wote. Tena jamaa wakiniona tu huwa wanaenda kuwaambia wake zao nipo around, basi mida tu simu na sms kibao.
Mbaya zaidi waume zao huwa inajidai kuwa midume ya shoka iliyojaaliwa ukuni wakati mie na kimbilimbi changu nawafurumusha wake zao mpaka nimeanza kujiogopa mwenyewe.
 
Loh nawachukia sana wanawake wenye waume zao na wanatoa penzi nje. Hivi si utampelekea mumeo maradhi? Na nyie wanaume unaotaka wake za watu kwanini lkn? si wako single wengi kwanini msiwafuate na mkaoa? mnapenda sana dezo, acheni hizo, lakini ukimfanyia mwenzio na wewe utafanyiwa.
 
Je kuna jambo lolote watu husema juu yake, Tazama ni jambo jipya? limekwisha kuwako,
tangu zamani za kale zilizokuwa kabla yetu sisi.

Hakuna jipya. Lakini kila ufanyalo jua kuna mwisho wake.
Waweza kuwa mzuri na waweza kuwa mbaya pia.

JIpange sawasawa.
 
View attachment 19380na mwingine atakwambia unajua mm sijawahi kutoka kabisa nje ya ndoa, ww umenidanganya sijui una dawa, bwana wangu kanikuta bikira,
ni kwako tu siwezi tena kutoka nje ya ndoa nakuapia, sidhubutu
Majibu ya mwanaume mwizi: unajua nakuamini sana ww, najua upo serious, hutoki nje ya ndoa ila kwangu tu, unajua hata mm sifuati mwanamke hovyo, ila ww hata sijui imekuwaje, athante thaaaaana, i luv u.
Uongo ndani ya ndoa mbaya, wacheni hii kitu wanandoa

Dah! Wazoefu utawajua tu!
 
kuna wengine wanaomba hiyo iwe mwanzo na mwisho alitereza tu kukupa ila mkitoka tu anakumbushia tena mwenyewe

Sasa ole wako akitaka mkumbushie umwambie, ''dear we mke wa mtu bwana, mimi naogopa, ile tulipitiwa tu. Tuache tafadhali'' Utajibiwa...''Yaani leo ndio umejua kwamba mie mke wa mtu eeeeeh?''
 
Mumeo au mkeo akirudi home siku hio akakuambia yafuatayo, ujue umeibiwa: Moja; siku hio anakuonyesha upendo wa ziada, kama vile ndo mmeoana, lakini atajiepusha msi-do, hapo umeliwa: pili; anakusifia mambo ya kazini na kusisitiza amechoka kwa kazi nyingi huku akiikandia kazi yake kua ni ngumu, hapo napo kwa heri; tatu; akirudi maneno mengi hayaishi, stori zenye kutokujiamini kwingi...mmhh umekwisha; SASA ili kumkamata muombe game, lazima whether ni Mume au mke, game itakua nyepesi mno, kutimiza wajibu tu

Hizo ni mbinu za sisi wanaume. Ila kwa wanawake wengi husingizia kutokuwa kwenye ''mood'' na kama una kakosa kadogo tu basi hako hako kanakumbushiwa na unanuniwa!
 
Back
Top Bottom