figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
said abdallah kapewa kadi ya njano baada ya kumchezea madhambi kanavaro. alitaka mumuumiza beki wa yanga. mia
star tv wamekojolea kipindi cha mpira. mimi naondoka. ntarudi kuwapeni matokeo ya jumla.bye!. mia
mkuu; rudi bwana.
mkuu nimerudi na mpira unakaribia kwenda mapumziko.
RUVU 2 - 2 YANGA. Mia
STani star tv wameniuzi kweli leo ni aibu hata kuongea waliotufanyia yanga, kwanini hawakuonyesha mechi ya chels na totenam,. Ujinga huu
leo ripota ni figga nigga mia...
Kazi ipo.
rooney kajifunga.
MAN U 0 - 1 STOKE. mia
yaani leo si mchezo. rooney kasawazisha kwa kichwa.
MAN U 1 - 1 STOKE. mia
kipindi chapili kimeanza. mia