Yanga v/s Ruvu shooting Live National Stadium

sijajua kwanini chuji hajacheza. au ile kadi alopata na simba ndo imemfanya asicheze?. angekuwepo yanga wangekuwa washafunga. mia
 
Ruvu na yanga wanampira sawa, hakuna anaye mzidi mwenzie. kufunga ni bahati tu. mia
 
Ruhende kacheza upumbavu. baada ya kujiangusha mbele ya kipa akitaka wapewe penati wakati angepiga mpira angedunga. DIDIE KAVUMBAGU KAFINGA GOLI LA 3 dakika ya 65.
YANGA 3 - 2 RUVU. mia
 
Ruhende kacheza upumbavu. baada ya kujiangusha mbele ya kipa akitaka wapewe penati wakati angepiga mpira angedunga. DIDIE KAVUMBAGU KAFINGA GOLI LA 3 dakika ya 65.
YANGA 3 - 2 RUVU. mia

sizani kama kuna kikwazo kitakacho ipelekea Yanga ikose pointi 3 leo....
 
azomata azokite(kupanda na kushuka) ya ascar jushua imesaidia.
Goli hili la tatu la yanga limefungwa baada ya yanga kufanya mabadiliko ya kumtoa Rashid Gumbo na Kumuingiza Shamte Ally. mia
 
kavumbagu kakosa goli tena. inaonekana ruvu wamepanic baada ya kufungwa goli la 3. mia
 
ametoka jerry tegete na kuingia hamis kiiza.
*MAN U 3 - 1 STOKE.
*SOFIA SIMBA MWENYEKITI CWT.
*ANNA KILANGO ANALIA.
*YANGA 3 - 2 RUVU.mia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom